Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,602
Nimekuwa nikifuatilia nyuzi nyingi za watu wanaoandika ama kujinasibu wanafanya forex humu JF kwa takribani miaka 4.
Nimekuwa nikigundua falacies nyingi sana (uwongo) na upotoshaji lakini ni moja ya masuala ambayo sikuwahi kutaka kuyafungulia uzi, sababu kubwa ni kwamba wengi walionekana wameshapotoka tayar na wamepigwa upofu na tamaa kila wakisikia FOREX. Na ndio sababu kubwa ilinifanya kukaa kimya.
Binafsi, mimi nilibahatika kuijua hii kitu mapema tu nakumbuka kwa mara ya kwanza kabisa nilipokuwa mwaka wa mwisho chuo. Ever since nikawa mdau wa forex mpaka leo tunavoongea both as a trader na nimeamua kupiga hatua moja zaidi kuifahamu hii kitu kwa kuanza darasa la Masters ya Financial Engineering, sio tu kuifahamu forex bali pia kufahamu masoko mengine ya fedha kwa undani wake kama; Capital markets (stocks & bonds), Derivatives, and Short term debt & deposits.
Kwa ufupi tu cha kwanza, ieleweke kwamba trading in any financial instrument ambazo nimezitaja hapo juu in most and all cases inafanyika based on probabilities kwa sababu prices kwenye hizo instruments zina move randomly nikimaanisha kwamba movement ya price ama rate ni kitu ambacho hakuna yoyote anaweza kutabiri na kuwa sure 100%. With that regard, hakuna kitu kama get rich quick in forex or in any financial market.
Unajikuta kabisa mtu amenunua eurusd basi analazimisha lazima ipande just kwa sababu yeye amenunua, damn shit... anashindwa kufahamu price is a random variable. And this is number one thing kwanini wengi wanafeli.. How come you bet then you insist you want to be correct? (This is a random thing men)...
Nikisema hivo sikatai kwamba kuna wanaofanikiwa, mimi mwenyewe imeninufaisha kwa nyakati nyigi sana. Ila nachoweza kusema kufanikiwa kwenye hii biashara kutakuhitaji vitu viwili kwanza
1) Uvumilivu
2) Uzoefu
Hizo nilizotaja hapo ni nguzo mbili za umuhimu ambazo ndizo kwanza zitatengeneza psychology yako kuhusu trading na mambo mengine ya muhimu kama; kufanya uchambuzi yakinifu kwenye chart & candlestick, risk management na strategies.
Ni nguzo ambazo huwez kufundishwa na mtu, huwa zinakuja automatically baada ya kupitia maumivu makubwa ya hasara hata kupoteza pesa nyingi.
Wengi humu JF wamekuwa wakidanganywa na wataendelea kudanganywa na kuaminishwa kwamba Forex ni kitu kirahisi, ila uhalisia ni kwamba Forex sio rahisi kama unavofikiri, ni tasnia kui master inaweza kukuchukua years.
Kuna watu wanakaa kwenye forex mwaka mmoja and think they are already pro and gurus, bila kujua if their returns are dependent of lucky or knowledge. As i have told you, price is a random variable which means it is moving in probability.There are some cases, returns zako zitakuwa dependent on luck ni kama ku toss coin mara kumi ikakupa head in the long run the law of large number will prevail and you will also realise tail na kwa sababu of your immaturity you will be cut in pain with leverage and poor risk management and blah blah blah.. Ndo mana mpaka kesho hujawahi kuona billionaire wa Forex apart from hedge fund managers ambao they have some advantages you dont have.
Lastly, labda ntajiskia kuzidi kuwafunua kidogo kuhusu forex.. ila nnachosema ni kwamba
- Hichi kitu sio kirahisi kama mnavoaminishana humu
- This is real business, ni kweli kabisa kuna fursa kwenye forex and other financial instrument and i can testify that myself
- Knowledge first and is the key
- It can take years to master and make consistent returns independent of lucky
- Not a get rich quick scheme, in most cases utaliwa ujinga wako
Najiskia kuwahadithia vingi na vingi na vingine pia nnavovisoma darasani, will do that taratibu ila mnatakiwa kuthibitisha kwamba mentality zenu zipo sawa kupokea ntachsema maana halazimishwi mtu hapa.
Good night!