Electronics and Hardware Technician anahitajika.

Firefox

Senior Member
May 10, 2011
127
71
COSEKE Tanzania Limited inahitaji Hardware Technician mwenye uwezo wa kurepair na ku troubleshoot vifaa mbalimbali kama Computers, Servers, Scanners etc.

Vigezo:

-Awe na umri usiozidi miaka 30.
-Awe amehitimu mafunzo ya Electronics/Full technician Certificate/Hardware Repair and Maintenance katika level ya Certificate au Diploma kutoka vyuo vinavyotambuliwa Tanzania (i.e VETA, DIT, etc).
-Awe na uzoefu kwenye kazi hizi usiopungua miaka miwili.
-Awe na uwezo wa kutekeleza majukumu anayopangiwa bila kusimamiwa.

Mshahara Mzuri utatolewa kwa atakayefanikiwa kuajiriwa.

Tuma maombi (Attach CV pekee) kwa kutumia email: info@ajira.org

Au lete maombi yako moja kwa moja ofisi za COSEKE Benjamin William Mkapa Towers 6th Floor.

Maombi yatumwe kwa Country Manager.

Mwisho wa kupokea maombi ni Tarehe 14 June 2013.



Website: www.coseke.com
Facebook: www.facebook.com/coseke


COSEKE is an equal opportunity employer.
Only shortlisted candidates will be contacted.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom