EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,713
- 35,518
- Thread starter
- #21
dHARAU HIZI MAANA MECHI ZETU ZINAONEKANA KIMATAIFAHaizidi 80000 kwa hapa bongo lakin cha ajabu hawawez nunua
dHARAU HIZI MAANA MECHI ZETU ZINAONEKANA KIMATAIFAHaizidi 80000 kwa hapa bongo lakin cha ajabu hawawez nunua
Kwai si kanachajiwa hata kwa solarTunaogopa Electonic kanamaliza umeme
Hayo si Mapato ya mechi moja tu vinanunuliwa vya nchi nzima?
Wanakwama wapi kuwabana wadhamini au kutafuta mdhamini mpya wa kununua hivi vidude aye ajitangazeHizo board ni mali ya TFF sio vilabu.....kwahiyo kama ni kulaumu walaumu TFF sio vilabu.
Waagize China vinawezapatikana hata vya usd7-15
Hata kampuni moja tu ya BETTING inaweza kununua hako kakitu na kaktumika kuwatangazaWaagize China vinawezapatikana hata vya usd7-15
Alafu bongo timu na tff sio wabunifu kabisa katika kutafuta wanadhamini, mbaya zaidi unaweza kuta wote Wana mashariti magumu kwa wadhamini wanao jitokeza hatimaye kuambulia patupu. Kwa kuanzia wangekuwa wanakubali chochote kinachoweza patikana au hata bure/promotion ili kuvutia wadau na pia wadau waone faida ya kudhamini vilabu au ligi.
Tff wawe wakali kwenye kusimamia ungozi wa vilabu kuwa na nidhamu,sio timu ikipata TU udhamini kidogo basi migogoro haishi ya kufuja pesa, eg chama la wana/ stand UTD na dili la usd 1M kutoka Acacia.
Hawana terms wala lugha nzuri na wadhaminiHata kampuni moja tu ya BETTING inaweza kununua hako kakitu na kaktumika kuwatangaza
So kiujumla hatuna maafisa masoko wazuri TFF ni full ulaji tuHawana terms wala lugha nzuri na wadhamini
Wewe ndio nimekuelewa umetaja wa kununua kwavile wanaviwanja sasa simba wanunue au yanga wanunue halafu wakatumie wapi?Ukiachia udhamini kwani kama TFF kama msimamizi wa ligi anashindwaje kuvinunua hata vichache au AZAM akanunua cha kutuika CHAMAZI COMPLEX?
Huyu mwana anatosha kukizindua.Kufumba na kufumbua pap kashanunuliwa,
Tarajia nani kwenda kukizindua? ...mimi nafikiri maalim sefu
Wewe je unadhani nani atafaa kwa uzinduzi.