isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,125
- 6,250
| Origin and Workflow
Electro Dance Music ni muziki unaochakatwa Kidigitali ukitegemea mfumo wa kimekanika "Mechanical". Muziki huu utayarishwa kwa kutumia Digital Audio Workstation, MIDI, Power Amplifier, Loudspeaker, Magnetic Pickups, Samplers, Synthesizer's, Effect Unit's na electronic musical instruments.
Muziki wa EDM "Dansi ya Kielektroniki" ni chimbuko la mwisho Karne ya 19th na mwanzo wa karne ya 20th ukiwa umeasisiwa Ulaya na baadae Marekani. Germany "Ujerumani" na UK ndio waasisi wa muziki huu kabla ya kutapakaa hadi kufika Japan, Netherlands/Holland "Uholanzi", Brasil, India, Austria, France na South Africa.
Matawi ya muziki huu ni House, Dance, Techno, Trance, Electro, Glitch, Dubstep, Industrial, Electroacoustic, Jungle to name a few.
Muziki huu ndio chanzo na chimbuko la gunduzi na utengenezwaji wa vifaa vya muziki kidigitali duniani kote. Vifaa mfano wa Yamaha DX7 ni kutokana na zao la muziki huu, huku wavumbuzi na waendelezaji kama Yarushi Akutagawa, Saburo Tominaga, Jiw Kcha na Shiro Fukai wakiwa nguli katika utengenezaji wa vifaa hivyo vifanyavyo kazi kidigitali.
| Earnings and Charity
Electronic Dance Music ni muziki pekee duniani wenye kutengeneza pesa kwa wingi na haraka huku ukiwa na takribani DJ's na Producers "Watayarishaji" 150 ambao ni billionaires.
Mfano wa hao ni:
• Calvin Harris "DJ wa EDM anayelipwa fedha nyingi kwa show na utayarishaji"
• Nervo "Twin Sisters DJ's ambao ndio most paid Female DJ's and Producers"
• Alan Walker "Kupitia Walker brand ndio muuzaji wa mwavazi na vifaa mbalimbali"
| Charity
Kupitia EDM wanamuziki wamekuwa wakijitolea kwa ajiri ya jamii, majanga na matukio mbalimbali.
• Idris Elba (Ambaye ni mtayarishaji, DJ na muigizaji filamu) raia wa Liberia na US amejitolea TZS Billion 4.23 kwa kushirikiana na Global Citizen kwa ajiri ya kupambana na CORONA.
• Hande Yener (Muimbaji wa Pop ya KiTurkey) December 2018 alitoa TZS Million 95.7 (Zanzibar na Western Lake Tanzania) kwa ajiri ya watoto yatima na wale waishio katika mazingira magumu takribani vituo 84.
• Sam Feldt (Muasisi wa Heartfeldt Foundation) April 2019 alitoa TZS Million 52 kusaidia utoaji wa vifaa vya Kielektroniki mashuleni na utunzaji wa mazingira nchini Uganda.
• DJ Mag (Jarida nambari moja linalogusa shughuli za EDM) kwa kushirikiana na takribani DJ's 600, Producers, Record Labels, Illustrators na Digital Creators wa EDM mwaka 2019 kwa pamoja tulikusanya takribani TZS Billion 889.3 ambazo zilipolekea kitengo cha HIV/AIDS na Food Programme katika baraza la Umoja wa Mataifa vitengo vya afya na chakula.
| Record Labels, Distributors, Media na Publishing Houses and Events
Kupitia EDM kumekuwepo kampuni za usimamiaji wa kazi na hati miliki za wanamuziki na wasanii pia usambazaji na uzarishaji na vituo wa kurushia matangazo "Runinga, Television na Gazzetes"
- Record Labels na Publishing Houses,
WEPLAY Music, TONSPIEL, Byte Records, Armada Music, STMPD Records, Spinnin' Records, Ultra Music, Casablanca Records, Defected Records, Vendetta Records, Circus, Uprise Music kwa uchache.
- Distributors,
DJ Mag, BeatPort na Alltraxsource.
- Event's
Nibiru, Tomorrowland, Electric Daisy Carnival, Ultra Music.
- Media
Protocol Radio, State of Trance, ArmaRadio, STMPD Radio, DJ Mag, DJane, DJane Africa.
| Notable and Well Recognized Artiste
In memory of Avicii ❤
Robin Schulz, Felix Jaehn, Armin van Buuren, David Guetta, Steve Aoki, Dimitri Vegas, Like Mike, Basti M, Micha Moor, Daft Punk, Calvin Harris, Fedde La Grand, Skrillex, Alan Walker, Vazuataka Nakata, Hardwell, Black Eyed Peas, Diplo, DJ Snake, Swedish House Mafia, Benny Benassi, Black Coffee, Alex Schulz, Mahalo, Idris Elba, C-Ro, Nervo, DJ Leenata, Tanya Aura, Gianluca Vacchi, DJ Soda, Willy William, Showtek, The Chainsmokers to name a few.
- African Origin/Africa Based
RedOne 🇲🇦🇸🇪, Nahreal 🇹🇿, Michael Amani 🇧🇪🇹🇿, Rophnan 🇪🇹, DJ Bucks 🇿🇦, Mzungu Kichaa 🇩🇰🇹🇿, Stunner 🇹🇿, Krizbeats 🇳🇬 and Uhuru 🇿🇦
| Global Hit Songs
Toka 2014 baada ya ukuaji wa muziki wa Reggaton na ushirikishwaji na EDM takwimu zinaonyesha katika nyimbo 5 zinazokubarika duniani 3 ni zenye mahadhi ya Electro Dance Music.
Willy William Ft. J Balvin - Mi Gente
Steve Aoki Ft. Maluma - Maldad
Dimitri Vegas and Luke Mike X Afrobros - Boom Shaka Laca
DJ Nicky Jones - Losing My Religion
Anne Marie - Ciao Adios
Robin Schulz - Oh Child
Alan Walker - Faded
Gianluca Vacchi - Mundial
DJ Snake Ft. Ozuna - Taki Taki