Electrical technician natafuta kazi

westandtogether

Senior Member
Jul 8, 2020
153
229
Habari wanajf,
Mimi ni kijani umri miaka 26 mkazi wa Dar, Nimesomea diploma ktk course ya electrical and electronics engineering
Natafuta kazi ya muda au kudumu kwa sehemu yoyote kwa taasisi, kampuni , kiwandani n.k
Naomba tusaidiane wakuu.ahsante

Kwa mawasiliano; 0711633656/0683263330
 
Njoo ujibu swali huku
 
Niko dodoma kwa sasa ndo nafanya shughuli zangu,nikija dar ntakucheki tufanye kazi. Mimi pia ni fundi napiga hizo kazi za umeme
 
Umri huo Kama baba ako kashindwa kukutafutia ajira

Kwetu lete bandiko lakuomba kujitolea sehemu hata miaka miwili ukiwa na umri 28 Basi ndipo uaze kuhangaika na vyeti hivyo na kiambatanisho kivuli Cha utambulisho umejitolea miaka kazaa(uzoefu)...
 
Habari wanajf,
Mimi ni kijani umri miaka 26 mkazi wa Dar, Nimesomea diploma ktk course ya electrical and electronics engineering
Natafuta kazi ya muda au kudumu kwa sehemu yoyote kwa taasisi, kampuni , kiwandani n.k
Naomba tusaidiane wakuu.ahsante

Kwa mawasiliano; 0711633656/0683263330
Tunahitaji mtu wa kufanya kazi za electronics na kufundisha pia.
Tupo Moshi ,Kilimanjaro
kama una interest tuwasiliane --0717157640
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom