Ungesema kwa uwazi...Wakuu namatumaini yangu mu wazima wa afya.
Nisiwachosha sana kichwa cha habar kinajieleza,nimemaliza masomo yang ya elimu ya kati katika fani ya uhandisi umeme kutoka DIT,naomba mwenye chanel yoyote ya kazi hata ya muda anisaidie tafadhari.
Naomba kuwasirisha.
Endelea kutafuta mkuu mi sijasoma hii kitu lakini ndio kazi yangu kudeal na proteusWakuu namatumaini yangu mu wazima wa afya.
Nisiwachosha sana kichwa cha habar kinajieleza,nimemaliza masomo yang ya elimu ya kati katika fani ya uhandisi umeme kutoka DIT,naomba mwenye chanel yoyote ya kazi hata kwa muda anisaidie tafadhari.
Naomba kuwasirisha.
Unafanya electrical & electronics projects?Endelea kutafuta mkuu mi sijasoma hii kitu lakini ndio kazi yangu kudeal na proteus
Yeah.Unafanya electrical & electronics projects?
Tembelea makampuni ambayo yanafanya Power maintainance ya telecom towers,huko kazi huwa ni nyingi,jaribu NETIS wapo mwanza,Camusat wanaofisi dar ila shughuri zao nyingi zipo mbeya,Reime wapo dar,shughuri zao zipo mtwara.Maktech.Pivotech.NEWLWakuu namatumaini yangu mu wazima wa afya.
Nisiwachosha sana kichwa cha habar kinajieleza,nimemaliza masomo yang ya elimu ya kati katika fani ya uhandisi umeme kutoka DIT,naomba mwenye chanel yoyote ya kazi hata kwa muda anisaidie tafadhari.
Naomba kuwasirisha.
Shukrani mkuuTembelea makampuni ambayo yanafanya Power maintainance ya telecom towers,huko kazi huwa ni nyingi,jaribu NETIS wapo mwanza,Camusat wanaofisi dar ila shughuri zao nyingi zipo mbeya,Reime wapo dar,shughuri zao zipo mtwara.Maktech.Pivotech.NEWL
Hayo makampuni yana ofisi dar,ila shughuri zao nyingi zipo mikoani.
Ni muhimu kuwa na leseni ya udereva.
Haya makampuni,ni Mara chache kutangaza kazi,inabidi uwe unatembelea ofisi zao,unaacha document zako.usitume kupitia emails.
Fika mwenyewe kwenye ofisi zao,ulizia HR,au unampa barua hata mlinzi,aipeleke kwa HR.
TANGAZO LA NAFASI YA KAZI:Wakuu namatumaini yangu mu wazima wa afya.
Nisiwachosha sana kichwa cha habar kinajieleza,nimemaliza masomo yang ya elimu ya kati katika fani ya uhandisi umeme kutoka DIT,naomba mwenye chanel yoyote ya kazi hata kwa muda anisaidie tafadhari.
Naomba kuwasirisha.
Yes ni cheti mkuu! kwenye hizi kozi za Engineering kwa level ya Diploma kuna mfumo wa kuanzia NTA level 4 (Basic Technician certificate) kwa mwaka wa kwanza ,NTA level 5 (Full Technician certificate) mwaka wa pili na NTA level 6 (Ordinary Diploma certificate) mwaka wa tatu .Naombeni kuuliza..level II ni diploma au cheti??kwa upande wa umeme
Vocational Technical Award (VTA) Level ll haiwezi ikawa astashahada (cheti) au stashahada (diploma). Hiyo ni category tofaut ya Academic award. Ukimaliza VTA level l, ll na lll (ambazo zinakua accredited na VETA) unaweza ku apply ukasome ngazi ya astashahada (yaani Cheti/ NTA Level 4).Naombeni kuuliza..level II ni diploma au cheti??kwa upande wa umeme
Inamana wanavyosema ajira za electrical technician!!means hata wa level II wa veta anaweza kuomba iyo kazi??Vocational Technical Award (VTA) Level ll haiwezi ikawa astashahada (cheti) au stashahada (diploma). Hiyo ni category tofaut ya Academic award. Ukimaliza VTA level l, ll na lll (ambazo zinakua accredited na VETA) unaweza ku apply ukasome ngazi ya astashahada (yaani Cheti/ NTA Level 4).
I stand to be corrected!
Tena ndio wanakubalika kuliko hata hao waliopiga diploma.Inamana wanavyosema ajira za electrical technician!!means hata wa level II wa veta anaweza kuomba iyo kazi??
VTA Level ll huezi ukawa electrical technician ndugu. Unahitaji qualifications zaidi ili uwe techniacian. Taasisi kama Tanesco wana ajiri Electrical Technician kwa qualifications za Bachelor's degree. Kuna waliopata bahati miaka hiyo ya nyuma wakaajiriwa katika kada hiyo akiwa na Diploma.Inamana wanavyosema ajira za electrical technician!!means hata wa level II wa veta anaweza kuomba iyo kazi??
Vocational Technical Award (VTA) Level ll haiwezi ikawa astashahada (cheti) au stashahada (diploma). Hiyo ni category tofaut ya Academic award. Ukimaliza VTA level l, ll na lll (ambazo zinakua accredited na VETA) unaweza ku apply ukasome ngazi ya astashahada (yaani Cheti/ NTA Level 4).
I stand to be corrected!
Hapa upo sahihi kiasi fulani ila kuna mahali umekosea.VTA Level ll huezi ukawa electrical technician ndugu. Unahitaji qualifications zaidi ili uwe techniacian. Taasisi kama Tanesco wana ajiri Electrical Technician kwa qualifications za Bachelor's degree. Kuna waliopata bahati miaka hiyo ya nyuma wakaajiriwa katika kada hiyo akiwa na Diploma.
Mark hivi vitu: VTA & NTA. Hizo ni level tofauti za award. Kama una hold VTAs (Level l, ll, lll) ni tofauti na holder wa NTAs (Level lV, V, VI, VII, VIII, IX).
I stand to be corrected!
Sawa. Ndomana nikasema: I stand a correction!Hapa upo sahihi kiasi fulani ila kuna mahali umekosea.
Hapo uliposema Tanesco wanaajiri Technicians kwa level ya Bachelor degree ni uongo na hakuna kitu kama hicho.
Wanaajiri Technician kwa level ya Diploma na Engineer kwa level ya Bachelor degree miaka yote.
Japo swali lako halipo clear na sijakuelewa umelenga kitu gani ila nitajitahidi kulijibu kama ifuatavyo.Sawa. Ndomana nikasema: I stand a correction!
Swali moja kwako: Techician na Engineer ni kada moja au tofauti? Ukinipa jibu, naomba niambatanishe swali jingne: Nikweli Engineer na Technician waajiriwa kwa qualification moja wapo kati ya Diploma na B. Degree (kama ulivosema)?