Electrical Engineer wa kujitolea | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Electrical Engineer wa kujitolea

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by kipipili, Aug 13, 2012.

 1. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #1
  Aug 13, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Ndugu wanajamvi, Mimi ni mhandisi umeme mwenye uzoefu wa miaka zaidi ya kumi (10) katika viwanda na migodini. Ninahitaji kufanya kazi katika construction industy kwa kujitolea ikiwa ni sehemu ya kuongeza uzoefu (niliwahi kuwa katika sector hiyo kwa miezi tisa siku za nyuma) vilevile katika sector hiyo na kukuza zaidi taaluma yangu. Kwa mwenye kunihitaji please tuwasiliane.Ahsante.
   
 2. bombu

  bombu JF-Expert Member

  #2
  Aug 14, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 1,134
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  are you registered?
   
 3. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #3
  Aug 14, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Not yet but in process
   
 4. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #4
  Aug 14, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Why do you wanna work with another CO instead of registering your own CO sir? Niinbox Mhandisi kama uko serious tunaweza kuanzia hapo!
   
 5. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #5
  Aug 14, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Yo have to start from somewhere my friend and I am so serious. nimeku-PM check your inbox
   
 6. Mr. Wise

  Mr. Wise JF-Expert Member

  #6
  Aug 14, 2012
  Joined: Jul 23, 2012
  Messages: 5,315
  Likes Received: 3,164
  Trophy Points: 280
  Okay umeeleweka.....
  Swali:Je kwenye hayo maombi ya kujitolea Cv yako na barua ya maombi huwa unaandika una uzoefu wa miaka 10,vilevile unaomba jitolee ili uongeze uzoefu???????kama ulivyopost hiyo thread
  Maana miaka 10 maana yake uzoefu unao,so ongeza umakini utapoomba.
   
 7. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #7
  Aug 14, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  nikushukuru ingawa naona kama sijakuelewa vizuri.
   
 8. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #8
  Aug 14, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,466
  Trophy Points: 280
  weka simu yako hapa
  tunaweza kukupigia
   
 9. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #9
  Aug 15, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Ok check PM
   
 10. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #10
  Aug 15, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Nilifikiri unahitaji kazi....kumbe ni kujitolea tena unachagua site!!! Barrick Gold Mine wanahitaji sana watu wa Umeme!!
   
 11. Aqua

  Aqua JF-Expert Member

  #11
  Aug 15, 2012
  Joined: Jul 23, 2012
  Messages: 1,299
  Likes Received: 418
  Trophy Points: 180
  Ninachohisi hapa ni kwamba amefanya kazi nje ya field yake aliyosomea(Electrical engineering) muda mrefu,that is why anataka arudi kundini walau pasipo malipo aongeze ujuzi.Kama angekuwa kwenye field for at least 5years asingetaka fanya hiki anachotaka sasa.The way I see it.
   
 12. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #12
  Aug 15, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Barrick nilishafanya pamoja na viwandani ndiyo maana nimesema nataka kuwa katika construction industry
   
 13. mkayala

  mkayala JF-Expert Member

  #13
  Aug 15, 2012
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 554
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Ingia website ya Enrich Africa co,wanahitaji Electrical Engeneer.Pia jaribu IPTL.
   
 14. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #14
  Aug 15, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  hapana nimefanya kazi katika field yangu lakini hasa viwandani, kwenye construction nilifanya kwa miezi tisa mwanzoni mwanzoni mwa career baada ya university. just ninataka kutoka viwandani kwenda site.
   
 15. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #15
  Aug 15, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  mkuu iptl ni construction industry au power plant?
   
 16. Aqua

  Aqua JF-Expert Member

  #16
  Aug 15, 2012
  Joined: Jul 23, 2012
  Messages: 1,299
  Likes Received: 418
  Trophy Points: 180
  Ok.Nimekusoma ila utakuwa umezichanga za kutosha mpaka unaamua kuvolunteer,huna jamaa uliosoma nao hivi say civil engineers wanaweza kukuunganisha na makampuni ya umeme coz ujenzi wa majengo unaendana sambamba na contractors wa umeme?Kuna info nacheck ikiwa useful 2 u, will let u know in no time.
  **********************
  Visit http://www.crbtz.org/contractors.asp kuna list ya registered electrical contractors,kuna mambo ya level na vitu kibao,kuna contact zao uki click more upande wa kulia wa jina wa kila contractor.May b ukiwasiliana nao walau kwa e-mail waweza fanikiwa.all the best bro.
   
 17. mkayala

  mkayala JF-Expert Member

  #17
  Aug 15, 2012
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 554
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Ni power plant.Samahan,mm nilijua KUJITOLEA ni trick ili upate ajira huko huko,kumbe uko specific na Construction.ALL THE BEST
   
 18. mkayala

  mkayala JF-Expert Member

  #18
  Aug 15, 2012
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 554
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Ni power plant.Samahan,mm nilijua KUJITOLEA ni trick ili upate ajira huko huko,kumbe uko specific na Construction.ALL THE BEST
   
 19. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #19
  Aug 15, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  asante mkuu kwa mchango wako.
   
 20. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #20
  Aug 15, 2012
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,950
  Trophy Points: 280
  ahahahaa...MKUU NAONA KAMA UNATANIA...hivi nikikupa kazi mwisho wa mwezi itakuwaje??...na familia yako unaiaga unaenda kazini mara safari site sumbawanga unarudi after 5 days na mwisho wa mwezi mama anakuangalia tuu mzee wa ku-voluntia"???... sema bei yako bana acha masikhara. KAZI BILA MSHAHARA NI NGUMU KIDOGO.
   
Loading...