Electric Impact Drill

Midozenj01

JF-Expert Member
Sep 21, 2014
410
385
Jipatie 13mm Powerful impact drill mpya yenye (550W) full set kwa TZS 120,000/= ikiwa na TOOLBOX.

Ina waranty ya mwaka mmoja ikiwa na..

1. Bit set za Chuma, Mbao, Ukuta na Aluminium na vifaa vya kupigia msasa tundu utalotoboa.

2. Ina speed controller.. kwa ajili ya ku adjust speed. (HIGH SPEED na LOW SPEED).

3. Inafunga na kufungua screws (speed ndogo).. yaani inazunguka clockwise na anticlockwise.

4. Inawafaa mafundi FENICHA, ALUMINIUM, WELDING, CHUMA, VIOO, GIPSUM na UMEME.

5. Ina IMPACT function inayokuwezesha kutoboa ukuta vizuri.

6. Ina watt 550W.

7. Ina leveling device inayokuwezesha kutoboa tundu na likawa level.

Zipo nyingi sana.. kwa wafanyabiashara kuna discount..

Inakuja na accessories kama unavyoziona kwenye video mwishoni.

Napatikana mbagala Dar es Salaam... Popote Nakutumia kwa uaminifu mkubwa

Fanya kunicheki 0684511276 kwa maelezo zaidi..
Screenshot_2021-12-27-12-57-16-35_99c04817c0de5652397fc8b56c3b3817.jpg
IMG-20211228-WA0012.jpg
IMG-20211228-WA0009.jpg
Screenshot_2021-12-27-12-57-07-94_99c04817c0de5652397fc8b56c3b3817.jpg
Screenshot_2021-12-27-12-57-16-35_99c04817c0de5652397fc8b56c3b3817.jpg
Screenshot_2021-12-27-12-56-54-77_99c04817c0de5652397fc8b56c3b3817.jpg
Screenshot_2021-12-27-12-56-49-46_99c04817c0de5652397fc8b56c3b3817.jpg
Screenshot_2021-12-27-12-57-02-45_99c04817c0de5652397fc8b56c3b3817.jpg
 
Back
Top Bottom