Elections 2010 Election Tally

jmugoF

New Member
Oct 25, 2010
1
0
Nimekuwa nikifuatilia uchaguzi huu wa TZ kwa karibu, kuna jambo moja sijaelewa, je kama results ni tume tu inasoma i mean za urais, sasa nani anafuatilia kama tally iliyopatikana mkoani au wilayani ndio imesomwa? pili Returning officer wa Mkoa kwa nini asisome official results za mkoa wake?
 
Za tume sio zile za ukweli. Wameamua kuwa wezi wa wazi mbele za watu. Vibaka wanachomwa moto sijui hawa wanatarajia kufanywa nini.
 
Hivi hawa NEC ofisi zao ziko wapi jamani? niwekee data za direction tufuate haki yetu nauhakika Dr Slaa akitoa mwongozo tu, tutawamaliza NEC ndani ya siku moja adabu itakuwepo pale.
 
Matokeo ya Urais yanatangazwa kwenye kila kituo cha kupigia kura kwa kubandikwa ila anayetamka ni NEC, sasa sijui kubandika sio kutangaza!
 
za tume sio zile za ukweli. Wameamua kuwa wezi wa wazi mbele za watu. Vibaka wanachomwa moto sijui hawa wanatarajia kufanywa nini.

huo ushahidi wa hilo ndio tunautafuta, ndio maana tunawaomba wagombea ambao wanahisi wamechakachuliwa watupatie hizo figures kwa mujibu wa nakala za matokeo walizonazo.
 
Hivi hawa NEC ofisi zao ziko wapi jamani? niwekee data za direction tufuate haki yetu nauhakika Dr Slaa akitoa mwongozo tu, tutawamaliza NEC ndani ya siku moja adabu itakuwepo pale.

ahaa kama hawajahama nahisi ofisi zao zipo mbele ya crdb ya clock tower banch,maeneo ilipo balozi za kameruni na uholanzii,mm naombeni kuuliza hata hao wachakachuaji wanaishi wapiii,yani hawa uarabuni unakulanao sahani moja kilainiii hata kwa baruti tuu
 
Sorry pointof correction sio clock tower,bali inaitwa holland branch,The Branch is in the Holland House at the junction of Ohio Street and Samora Machel Avenue, due East from the Askari Monument, opposite the British Council Library and the Audit House.
 
PEOPLEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEES POOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOWER:A S angry:
 
Back
Top Bottom