Election of East Africa president


Kidzogolae

Kidzogolae

Senior Member
Joined
Apr 20, 2008
Messages
134
Likes
1
Points
0
Kidzogolae

Kidzogolae

Senior Member
Joined Apr 20, 2008
134 1 0
Ninavyoona, kukiwa na Federation ya East Africa, yaani, Tanzania,Kenya na Uganda zikiwa nchi moja, siku tukianza kuchagua rais, akashindwa kutoka kenya, bila shaka wakenya wataingia mtaani kuchinjana. wakenya watataka rais atoke kwao tu na sio uganda wala tz. hii imeonyesha fujo za juzi za ukabila. hakuna asiyejua duniani kuwa kenya kuna ubaguzi wa kikabila, ndo maana hata hapa wakija kufanya kazi tz, wanawaajiri sehemu nzuri wakenya tu, na wakiwa ofisini wanaongea kikuyu sio kiswahili ha kiingereza muda mwingi wao kwa wao. Nairobi mtaani,watu wanaongea kiluga sana. huwezi kuona hivyo tz. Uganda,wanapenda vita sana na hawana umoja. ila tunaweza tukawabeba hivyohivyo. Rwanda na burundi, you are welcome to join tz,ninyi ni watoto. tutawameza na tutafuta genocide hiyo. thanks.
 

Forum statistics

Threads 1,238,211
Members 475,873
Posts 29,312,848