Election analysis: Ni nani anajua matokeo ya uchaguzi mdogo wa igunga mwaka 1994.

politiki

JF-Expert Member
Sep 2, 2010
2,376
1,507
Ukitaka kujua progress ya vyama vya upinzani angalia chaguzi zilizopita utapa picha nzuri ulikotoka na inakuwa rahisi kujua unapoelekea
naamini kabisa kama kuna mtu atafanikiwa kupata matokeo yale tunaweza kupata picha nzuri sana kwamba upinzani unakubalikaje igunga?
 
Unapofanya analysis basi ni vizuri na wewe ukazama kidogo kuliko kuja na mada ambayo ni mfupa mtupu. Akujazie nani?
 
Ukitaka kujua progress ya vyama vya upinzani angalia chaguzi zilizopita utapa picha nzuri ulikotoka na inakuwa rahisi kujua unapoelekea
naamini kabisa kama kuna mtu atafanikiwa kupata matokeo yale tunaweza kupata picha nzuri sana kwamba upinzani unakubalikaje igunga?

if this is what you call analysis then our nation is going down the drain for having people of your kind!
 
Back
Top Bottom