Election 2010: Shape of the house(mjengoni) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Election 2010: Shape of the house(mjengoni)

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Watu, Nov 2, 2010.

 1. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2010
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  So far as it Stands,

  CCM = Viti 49
  Chadema = Viti 14 :israel::israel::israel:
  CUF = Viti 11 Seats
  Wengineo( TLP, UDP NCCR n.k) = Viti 3
   
 2. marshal

  marshal JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 350
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Jamani data na majina ya washindi na majimbo yao
   
 3. B

  Biro JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2010
  Joined: Aug 27, 2010
  Messages: 331
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 60
  Unamaanisha Tanzania bara? sababu pemba peke yake kuna majimbo 18 na yote amechukua CUF, unguja CUF kachukua 3 sasa hiyo 14 ya CUF unapataje?
   
 4. g

  godfrey2010 Member

  #4
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani segerea na kawe tukaongeze nguvu mpaka kieleweke....
   
 5. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #5
  Nov 2, 2010
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  mjengo uko dom! pemba wawakilishi hao
   
 6. Malafyale

  Malafyale JF-Expert Member

  #6
  Nov 2, 2010
  Joined: Aug 11, 2008
  Messages: 11,214
  Likes Received: 3,626
  Trophy Points: 280
  Watu;
  Kule ZNZ tayari CUF kachukua Wabunge 21 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano na wawakilishi 21 wa Baraza la wawakilishi ZNZ
   
 7. Consultant

  Consultant JF-Expert Member

  #7
  Nov 2, 2010
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 5,798
  Likes Received: 6,308
  Trophy Points: 280
  KIGOMA tu kuna NCCR Mageuzi viti 3!
   
 8. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #8
  Nov 2, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Bunge la mwaka huu litakuwa balaa si mchezo viroja kwenda mbele
   
 9. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #9
  Nov 2, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  huu udaku kweli kweli. mpaka jana TBC1 wanasema chadema wana 17, leo tena vimeshuka mpaka 14?
   
 10. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #10
  Nov 2, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  ni data tuu mkuu kila mtu anazake inategemea na source yako!
   
 11. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #11
  Nov 2, 2010
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Ubunge Manyoni Mashariki - Lwanji/CCM
  Ubunge Masasi - CUF
  Ubunge Ukerewe - Salvatory Naluyege/CHADEMA
  Ubunge Mkinga - CCM
  Ubunge Kilosa - Mustapha Mkullo/CCM
  Ubunge Namtumbo - Vita Kawawa/CCM
  Ubunge Longido - Michael Lekule Laizer/CCM
  Ubunge Kibaha - CCM
  Ubunge Kisarawe - CCM
  Ubunge Sumbawanga Mjini - CCM
  Ubunge Moshi Vijijini - Cyril Chami/CCM
  Ubunge Vunjo (Kilimanjaro) - Augustine Lyatonga Mrema/TLP
  Ubunge Mtwara Mjini - Murji Hasinen Mohamed/CCM
  Ubunge Lindi - Salum Barwani/CUF
  (mshindani wa karibu Mohammed Abdulaziz/CCM)
  Ubunge Tabora Mjini - Ismal Aden Rage/CCM
  Ubunge Arumeru Mashariki - Jeremia Sumari/CCM
  Ubunge Mwanga - Jumanne Maghembe/CCM
  Ubunge Siha (Kilimanjaro) - Aggrey Mwanri/CCM
  Ubunge Mbeya Mjini - Joseph Mbilinyi (Mr. II aka Sugu)/CHADEMA
  Ubunge Chato - John Magufuli/CCM
  Ubunge Moshi Mjini - Philemon Ndesamburo Kiwelu/CHADEMA
  Ubunge Songea - Dk. Emmanuel Nchimbi/CCM
  Ubunge Bukoba Vijijini - Jasson Rweikiza/CCM
  Ubunge Biharamulo Magharibi - Dk Antony Mbasa/CHADEMA
  Ubunge Kasulu Mjini - Machali Moses/NCCR Mageuzi
  Ubunge Mvomero - Amos Makalla/CCM
  Ubunge Kigoma Mjini - Peter Serukamba/CCM
  Ubunge Rombo - Julius Selasini/CHADEMA
  (mshindani wa karibu Basil Mramba/CCM)
  Ubunge Tarime - Nyambari Nyangweni/CCM
  Ubunge Nyamagana - Hezekiah Wenje/CHADEMA
  (mshindani wa karibu Lawrence Masha/CCM)
  Ubunge Babati Mjini - CCM
  Ubunge Iringa Mjini - Mchungaji Peter Msigwa/CHADEMA
  (mshindani wa karibu Monica Mbega/CCM)
  Ubunge Hai - Freeman Mbowe/CHADEMA
  Ubunge Singida Mjini - Mohamed Dewji/CCM
  Ubunge Musoma Mjini - Vincent Nyerere/CHADEMA
  Ubunge Peramiho - Jenista Mhagama/CCM
  Ubunge Mpwapwa - George Tau/CCM
  Ubunge Arusha Mjini - Godbless Lema/CHADEMA
  (mpinzani wa karibu Batilda Burian/CCM)
  Ubunge Mbarali - Dickson Kiruvi/CCM
  Ubunge Kigoma Kaskazini - Zitto Kabwe/CHADEMA
  Ubunge Korogwe - Yusuf Nassir/CCM
  Ubunge Ilemela - Hayness Samson/CHADEMA
  (mshindani wa karibu Anthony Diallo/CCM)
  Ubunge Kongwa - John Ndugai/CCM
  Ubunge Mtwara Vijijini - Hawa Ghasia/CCM
  Ubunge Maswa Magharibi - John Shibuda/CHADEMA
  Ubunge Tandahimba - Juma Njuayo/CCM
  Ubunge Meatu - Meshack Opulukwa/CHADEMA
  Ubunge Kibakwe - CCM
  Ubunge Maswa Mashariki - Sylvester Kasulimbayi Mhoja/CHADEMA
  Ubunge Urambo Magharibi - Prof. Juma Kapuya/CCM

  Ubunge Morogoro Kusini Mashariki - Lucy Nkya/CCM
  Ubunge Bukoba Mjini - Khamis Kagasheki/CCM
  Ubunge Njombe Kaskazini - Deo Sanga/CCM
  Ubunge Njombe Magharibi - Grayson Lwenge/CCM
  Ubunge Morogoro Kusini - Innocent Karogoresi /CCM
  Ubunge Dodoma Mjini - David Malole
  Ubunge Nyang'wale - Hussein Amary/CCM
  Ubunge Urambo Mashariki - Samwel Sitta/CCM
  Ubunge Kyela - Harrison Mwakyembe/CCM
  Ubunge Morogoro Mjini - Aziz Abood/CCM
  Ubunge Arumeru Magharibi - Ole Sambu/CHADEMA
  Ubunge Manyoni Mashariki - Lwanji/CCM
  Ubunge Masasi - CUF
  Ubunge Ukerewe - Salvatory Naluyege/CHADEMA
  Ubunge Mkinga - CCM
  Ubunge Kilosa - Mustapha Mkullo/CCM
  Ubunge Namtumbo - Vita Kawawa/CCM
  Ubunge Longido - Michael Lekule Laizer/CCM
  Ubunge Kibaha - CCM
  Ubunge Kisarawe - CCM
  Ubunge Sumbawanga Mjini - CCM
  Ubunge Moshi Vijijini - Cyril Chami/CCM
  Ubunge Vunjo (Kilimanjaro) - Augustine Lyatonga Mrema/TLP
  Ubunge Mtwara Mjini - Murji Hasinen Mohamed/CCM
  Ubunge Lindi - Salum Barwani/CUF (mshindani wa karibu Mohammed Abdulaziz/CCM)
  Ubunge Tabora Mjini - Ismal Aden Rage/CCM
  Ubunge Arumeru Mashariki - Jeremia Sumari/CCM
  Ubunge Mwanga - Jumanne Maghembe/CCM
  Ubunge Siha (Kilimanjaro) - Aggrey Mwanri/CCM
  Ubunge Mbeya Mjini - Joseph Mbilinyi (Mr. II aka Sugu)/CHADEMA
  Ubunge Chato - John Magufuli/CCM
  Ubunge Moshi Mjini - Philemon Ndesamburo Kiwelu/CHADEMA
  Ubunge Songea - Dk. Emmanuel Nchimbi/CCM
  Ubunge Bukoba Vijijini - Jasson Rweikiza/CCM
  Ubunge Biharamulo Magharibi - Dk Antony Mbasa/CHADEMA
  Ubunge Kasulu Mjini - Machali Moses/NCCR Mageuzi
  Ubunge Mvomero - Amos Makalla/CCM
  Ubunge Kigoma Mjini - Peter Serukamba/CCM
  Ubunge Rombo - Julius Selasini/CHADEMA (mshindani wa karibu Basil Mramba/CCM)
  Ubunge Tarime - Nyambari Nyangweni/CCM
  Ubunge Nyamagana - Hezekiah Wenje/CHADEMA (mshindani wa karibu Lawrence Masha/CCM)
  Ubunge Babati Mjini - CCM
  Ubunge Iringa Mjini - Mchungaji Peter Msigwa/CHADEMA (mshindani wa karibu Monica Mbega/CCM)
  Ubunge Hai - Freeman Mbowe/CHADEMA
  Ubunge Singida Mjini - Mohamed Dewji/CCM
  Ubunge Musoma Mjini - Vincent Nyerere/CHADEMA
  Ubunge Peramiho - Jenista Mhagama/CCM
  Ubunge Mpwapwa - George Tau/CCM
  Ubunge Arusha Mjini - Godbless Lema/CHADEMA (mpinzani wa karibu Batilda Burian/CCM)
  Ubunge Mbarali - Dickson Kiruvi/CCM
  Ubunge Kigoma Kaskazini - Zitto Kabwe/CHADEMA
  Ubunge Korogwe - Yusuf Nassir/CCM
  Ubunge Ilemela - Hayness Samson/CHADEMA (mshindani wa karibu Anthony Diallo/CCM)
  Ubunge Kongwa - John Ndugai/CCM
  Ubunge Mtwara Vijijini - Hawa Ghasia/CCM
  Ubunge Maswa Magharibi - John Shibuda/CHADEMA
  Ubunge Tandahimba - Juma Njuayo/CCM
  Ubunge Meatu - Meshack Opulukwa/CHADEMA
  Ubunge Kibakwe - CCM
  Ubunge Maswa Mashariki - Sylvester Kasulimbayi Mhoja/CHADEMA
  Ubunge Urambo Magharibi - Prof. Juma Kapuya/CCM
  Ubunge Bumbuli - January Makamba/CCM
  Ubunge Karatu – CHADEMA
  Ubunge Ubungo – Mnyika John CHADEMA
  Ubunge Mbulu – CHADEMA  Jumla ya majimbo ya Uchaguzi Tanzania 2010 ni 239. Bara 189 na Visiwani 50 (18 Pemba, 32 Unguja)
   
 12. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #12
  Nov 2, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  oh ok, inamaana huyu jamaa bado hajapata data za chadema kwenye majimbo mengine?:nono:
   
 13. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #13
  Nov 2, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  embu angalia ulivyorudiarudia majina ya majimbo :)
  I doubt where you get all these from
   
 14. w

  watarime Senior Member

  #14
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 105
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mpaka sasa wabunge wa chadema waliotangazwa ni hawa!

  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Kigoma Kaskazini (Zitto),[/FONT]
  [FONT=&quot]Ubungo (Mnyika), [/FONT]
  [FONT=&quot]Ukerewe, [/FONT]
  [FONT=&quot]Mbeya Mjini (Sugu),[/FONT]
  [FONT=&quot]Hai (Mbowe),[/FONT]
  [FONT=&quot] Arusha Mjini (Godbels Lema),[/FONT]
  [FONT=&quot] Rombo[/FONT]
  [FONT=&quot] Musoma Mjini (Vicent Nyerere), [/FONT]
  [FONT=&quot]Maswa Magharibi (Shibuda),[/FONT]
  [FONT=&quot] Nyamagana, [/FONT]
  [FONT=&quot]Moshi[/FONT][FONT=&quot] Mjini,[/FONT]
  [FONT=&quot]Meatu[/FONT]
  [FONT=&quot]Karatu,[/FONT]
  [FONT=&quot]Singida Masharika,[/FONT]
  [FONT=&quot]Maswa mashariki na[/FONT]
  [FONT=&quot] Ilemela.[/FONT]
  [FONT=&quot]Mbulu[/FONT]
  [FONT=&quot]Biharamulo mashariki[/FONT]
  [FONT=&quot]Ujiji[/FONT]
  [FONT=&quot]Kibondo[/FONT]
  [FONT=&quot]Mbozi mashariki[/FONT]
  [FONT=&quot]Arumeru Magharibi[/FONT]
   
 15. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #15
  Nov 2, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  kwa sasa hivi chadema viti 20 confirmed mzee update hiyo taarifa yako
  Musoma, Kiteto, Arusha mjini, Moshi mjini, Nyamagana, Ilemela, Maswa mashariki, Maswa magharibi, ukerewe, Bihalamulo, Meatu, Kigoma kaskazini, Iringa mjini, Mbeya mjini, Hai, Rombo, Mbozi magharibi, Mbulu, Ubungo, Karatu.
   
 16. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #16
  Nov 2, 2010
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  ndio maana ya hii topic, if you have the latest accurate data lete mwisho wa cku tutajumuisha
   
Loading...