El waziri mkuu mstaafu

Kichankuli

JF-Expert Member
Dec 18, 2008
887
189
Karibu mara mbili kwa nyakati tofauti nimesikia TBC wakimuelezea kwenye taarifa zao Lowasa kuwa ni Waziri Mkuu mstaafu. Ninachojiuliza, EL alistaafu lini huo uwaziri mkuuu zaidi ya ule aliojiuzulu?. Hebu wajuzi wa kiswahili watuambie kama maneno kujiuzulu na kustaafu yanamaanisha kitu kilekile. Isije ikawa jamaa alifungashiwa na mafao ya uPM na kwamba anaendelea kulamba kapesheni kake kiulaini. Natoa hoja
 
Mbona mada kama hii/hizi ni nyingi humu janvini, ndo kusema wana JF hawana njia nyingine ya kuongeza posts?!.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom