EL, RA: Wivu wenu na ujinga wenu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

EL, RA: Wivu wenu na ujinga wenu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Julius Kaisari, Jan 19, 2011.

 1. Julius Kaisari

  Julius Kaisari JF-Expert Member

  #1
  Jan 19, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 1,174
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  Salaam ndg wana Jf.. Mimi huwa nafikiria mara nyingi sana juu ya hali ya nchi yangu Tanganyika. Rasilimali tele,Watu wema,wacha-Mungu nk. Kweli nishia kusikitika. Kwa upande mwingine masikitiko yangu ni sawa na ya wengi humu jamvini wale waliowazalendo. Nikajiuliza hivi Edward Lowasa na kampani yake kina rostam aziz,itokee siku moja waje hadharani waulize 1. Kwanini mnatuchukia? 2. Je utajiri na mali zetu unawahusu nini? 3. Je kama sisi wevi mbona hakuna hata mmoja kathubutu kwenda kortin? 4. Je siyo maarifa yetu yametupatia maisha safi? Acheni wivu zenu za kijuha enyi watz... Je ninani atanyanyka kujibu hoja??? Hapo sasa, wonders never cease!!!
   
 2. coscated

  coscated JF-Expert Member

  #2
  Jan 19, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 180
  mkuu wamekuagiza nini?! Kawaambie waje wenyewe waulize hapa majibu mengi tu ni/tunayo.
   
 3. M

  MzeePunch JF-Expert Member

  #3
  Jan 19, 2011
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 1,412
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Mbona hueleweki mkuu? Au hukusikiliza vizuri maelekezo waliyokupa?
   
 4. Julius Kaisari

  Julius Kaisari JF-Expert Member

  #4
  Jan 19, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 1,174
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  mkuu tupo pamoja, mimi pia great thinker tena unbiased! Nipo huru kupindua fikra hata kama zinaniumiza... Hebu weka ubinafsi pembeni utoe jibu then uvae tena huo umungu wako...ungewajibu vipi?
   
 5. Z

  ZenaTulivu Senior Member

  #5
  Jan 19, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 137
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sijui anajiumauma nini hapo nayeye huyu.
   
 6. Julius Kaisari

  Julius Kaisari JF-Expert Member

  #6
  Jan 19, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 1,174
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  huelewi nini? Wewe hao majemedari wakija ndani mwako wakuhoji utawambia nini? Nimeuliza hii kitu ingawa nami mpambanaji, ila hainizuii kufikiria,labda ilikuwaje wakapata,nk nk..
   
 7. Julius Kaisari

  Julius Kaisari JF-Expert Member

  #7
  Jan 19, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 1,174
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  wapi hao najiumauma? Wewe ungewajibu vipi? Teh teh teh!
   
 8. coscated

  coscated JF-Expert Member

  #8
  Jan 19, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 180
  mimi sio mungu kawaambie tu rostam(RA) na lowassa (EL) au wote kwa pamoja RAEL wani PM ndio nita deal nao.
   
 9. M-mbabe

  M-mbabe JF-Expert Member

  #9
  Jan 19, 2011
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 4,991
  Likes Received: 3,740
  Trophy Points: 280
  Swali la Ukwelikitugani lina mantic lakini jamani.

  Embu kidogo tuweke kando emotions...tulijibu swali jinsi lilivyoulizwa!
   
 10. Julius Kaisari

  Julius Kaisari JF-Expert Member

  #10
  Jan 19, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 1,174
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  ndugu yangu,nilitegemea ma-great thinker kutupia jicho kifalsafa juu ya maswali hayo, kimsingi nakwambia inawezatokea siku fulani nayoyasema yakawa kweli.. Jambo la msingi hapa ni kujibu na kuangalia inawezekana? Kumbuka hawa watu hawajashika mtutu na kumpora mtu awayeyote...nilitegemea mtu aweke uchambuzi wake utakao wahamasisha watz juu ya rup holes za kiuongozi/utendaji and hence kutafuta mbdala...ndugu zangu wananiona kibaraka!! Haya ndo yanayotufanya tuonekane wataz wote hamnazo..tutapiga kelele wee mwisho wa siku Dowans wanalamba chao...
   
Loading...