EL, RA & JK wamnunua Mwanakijiji!

Status
Not open for further replies.
Mimi nakwambia MKJJ kuna utani mwingine kwenye siasa utajaujutia, very costly-just in case you thinking of becoming an active politcian! Otherwise, poa kabisa!
 
mnakumbuka "God Father"... hata wanaodhani wajanja wanaweza kupwa offer they can not refuse.. ni offer ambayo ukikataa utalipa! So, Bi. Senti over the weekend kanitumia ujumbe kutoka mkubwa fulani na wakasema wanipe ofa ambayo siwezi kuikataa.. now baada ya kuisikiliza ofa yenyewe nimeshindwa kuikataa jambo nimeikubali kwa machozi na kulia chonde chonde..

Ila wheelchair yangu ni ile kama ya Stephen Hawkings.. miye nimeketi tu huku mkono mmoja unafanya kazi zake..

Wandugu.

Katu siwezi kumlaumu mtu kwa kufanya maamuzi yenye lengo la kuboresha maisha yake bila kudhuru maisha ya wengine.

Siwezi kumlaumu Mtu kwa kujihami na kulinda uhai wake pasi yeye kuwa chanzo cha kuhatarisha maisha ya wengine.

Kwa hakika nitamheshimu mtu wa namna hiyo na pia kumuunga mkono kwa juhudi zake ama step zake hizo.

Lakini Mtu aliye tayari kuuza Principle za utu/haki/ uhuru/upendo/ukweli uliodhahiri na wa dhati kwa thamani chache ya vipande 30 vya fedha mtu huyo ni mtu asiyefaa kabisa kabisa.

Duniani zipo ofa, Nabii Muhammad aliahidiwa Ufalme na waarabu iwapo atakoma kuendelea na mafundisho yake, lakini akakataa akasema yupo tayari kufa na umasikini wake kuliko kuacha kufanya kazi hii ya kutangaza haki.

Lakini ukiwachunguza watu makini kwa nini hukataa Ofa za namna hiyo?. ni kwa sababu hutambua kwa dhati kwamba wakati mwingine mtu inabidi ukatae ofa inayopelekea kutokutimiza wajibu wako.

Nelson Mandela alisema yuko radhi kufa ikibidi ili kutetea misingi ya haki kwa ajili ya watu wake.

Iwapo Mtu yuko tayari kutoikataa Ofa nono, na kwa gharama ya ofa hiyo akauza utu wake, akauza watu wake, mtu wa namna hiyo ni mtu msaliti.

Ni mtu ambaye akipewa dhamana kubwa na watu yuko tayari kuwauza watu wake kwa visingizio vya ofa nono na kwa namna hii mafisadi wote wanaozungumziwa nchini wamepitia Hatua hii.

Well Mapambano ya kifikra siyo lelemama wandugu wana JF.siyo kila askari aliyependezwa na gwanda basi ni askari mahiri.

Kuna watu walisema tutaona vioja vingi Mwaka huu.

Kwamba Unaposhindwa kuwashawishi kwa hoja ambao unadhani wanakosea basi njia muafaka ni kuwakubalia mawazo yao. kweli haya ni maajabu.

Waache wawanunue wasanii kina (ze-comedy?) and the likes, waache wawanunue waandishi kina (nani?). lakini kwa kufanya hivyo wasidhani watakomesha mirindimo ya kilio cha wasaka haki.

Ama kweli Muona usiku kwenye giza nene totoro yampasa awe makini sana mchana kwenye mwanga mkali, la sivyo siku akijatahamaki atagundua kwamba kumbe alikwisha pofuka kitambo sana.
 
HASARA.
Hivi ni kweli MWANA KIJIJI KANUNULIA?Kununuliwa kwake usije na wewe kuingia kwenye mkondo huo nachoona na kuweka nguvu za pamoja wana JF katika kumrudisha mwanakijiji kundini.
 
HASARA.
Hivi ni kweli MWANA KIJIJI KANUNULIA?Kununuliwa kwake usije na wewe kuingia kwenye mkondo huo nachoona na kuweka nguvu za pamoja wana JF katika kumrudisha mwanakijiji kundini.

heshima mbele mkuu
mimi siwezi kufanya hivyo itakuwa ni laana kwa watanzania ninaomba mungu anisaidie kila kitu pesa pesa tu mimi nilitishiwa kuweka hizo picha nikampa mwanakijiji sasa zimempandisha chati ninaomba tu asije akanitaja kwa sababu tuna fahamiana sana na mwanakijiji.
ninahofu sana na jina langu MWJJ kunitaja.
 
tuliza ball jamani, cheki haijakeshiwa......ila tuendelee na mada yenyewe. Kwanini tusiamue kuwaziria nchi..?
 
tuliza ball jamani, cheki haijakeshiwa......ila tuendelee na mada yenyewe. Kwanini tusiamue kuwaziria nchi..?

Mkijiji, Ujue utani mwingine mbaya jamani! wengine viroho viko juu hivi kulikoni mpambanaji mwenzetu machachari??

Nchi hatuwezi waziria n'go si yao ni yetu wote!
 
Rwabugiri, hayo ndiyo mawazo niliyoamka nayo leo.. sijui yataishia wapi lakini nimeamka nikiwa na hisia ya kukata tamaa, na hisia ya kuchoshwa na kujaribu kufikiri mkakati mwingine. Mkakati nilioamka nao leo ni wa kujiunga nao siyo wa mimi kubadilika.
 
Chonde chonde,mzee wa kijiji! Hayo mawazo yako sipingani nayo ila yana walakini kulingana na hali halisi kama ifuatavyo:

-Rejea makala ya Kitila Mkumbo CCM inavo wabadili watakatifu kuwa mashetani je utahimili vishindo?

kusuka au kunyoa
-Unless ukijiunga nao ukubali kubadilika kuwa kama wao (though I cant imagine fisadi mzee wa kijiji lol!), lakini kama utajiunganao bila kubadilika kaa tayali kupatwa na masahibu yalo wafika wapendwa wetu walio kuwa ndani bila kubadilika, Kolimba, Amina, Kombe, Mwaikambo kwa kuwataja wachache.
 
Kila mtu anaummuzi wake na hisia zake ambazo anaona ni sahihi kuzifuata. Kama ni udaku au udakizi mimi kwangu bado naona kuna safari ndefu ya kufikia kweli ya ukweli.
Kwa kuwa lose-lose deal ni maafikiano naamini pia Mzee mwanakiji anazo hekima na busara zake atakazozitumia huko aliko. Hata mimi ccm wakiniita nitaenda na kujiunga nao ila ajenda kuu ni kuchochea ubunifu wa kiuchumi. Ila sijatoa nafasi ya kuitwa maana sitaki na sina hamu ya kitu kiitwacho madaraka maana hata asiye mlevi atayalewa tu na kusahau haki. Hapa kinachotakiwa ni miiko ya uongozi na uwajibikaji kwa maslahi ya waongozwa. Kbla ya kutia saini mkataba wowote lazma ujiulize kama yule mtumia kibatari atanufaikaje na saini yako.....
 
Chonde chonde,mzee wa kijiji! Hayo mawazo yako sipingani nayo ila yana walakini kulingana na hali halisi kama ifuatavyo:

-Rejea makala ya Kitila Mkumbo CCM inavo wabadili watakatifu kuwa mashetani je utahimili vishindo?

kusuka au kunyoa
-Unless ukijiunga nao ukubali kubadilika kuwa kama wao (though I cant imagine fisadi mzee wa kijiji lol!), lakini kama utajiunganao bila kubadilika kaa tayali kupatwa na masahibu yalo wafika wapendwa wetu walio kuwa ndani bila kubadilika, Kolimba, Amina, Kombe, Mwaikambo kwa kuwataja wachache.

mzee hapa umenifanya nifikiri mara mbili. Inawezekana kina Warioba na Butiku wanaweza kusema wanayosema kwa vile wako nje eh?
 
Typical Bantu jibber-jabber! I'm dumbfounded as to what exactly the author of this thread is trying to argue in his original posting. La ajabu ni kwamba watt wazima na akili zao wanaonekana kumwelewa mjinga huyu na upuuzi wake na kuchangia kwa ari na nguvu zao zote. Pambaaf kabisa!
 
mwanakijiji kama ni kweli wameleta pesa kula lakini akili kichwani..."revolutionaries has no price taga..."..hivi kweli mtu mwenye akili anaweza kununuliwa ...kwani bei ya mtu ni shilingi ngapi....

wanaotaka kumununua au waliomnunua wanapoteza pesa yao kwa kuwa zimewazidi.....
 
Watu bwana, yaani mnakubali kabisaaaa kuchukuliwa "for a ride" na hawa watu(MKJJ na Hasara). Huu ni upuuzi, wewe kwa akili zako unadhani SISIEM wanamwitaji MKJJ kundini? mtu anaepiga makelele ya CHURA toka Detroit(the hell of America).......mnapoteza energy zenu bure, yeyote anayechukulia thread hii seriously, basi ana matatizo makubwa sana huko kwa "upstairs" yake. Nafunga bakuli langu hamnioni tena kwa thread hii!!!.
 
kwanini unafikiri naitwa na Sisiemu, nimechagua mwenyewe baada ya kufikiri kwa makini. CCM ndiyo chama pekee kinachoweza kuingoza Tanzania na it is about time to recognize that na kujiunga na watawalao. Wakati mwingine inabidi mtu ucheze ngoma wanayopiga wengine hata kwa kutingisha mguu tu
 
Watu bwana, yaani mnakubali kabisaaaa kuchukuliwa "for a ride" na hawa watu(MKJJ na Hasara). Huu ni upuuzi, wewe kwa akili zako unadhani SISIEM wanamwitaji MKJJ kundini? mtu anaepiga makelele ya CHURA toka Detroit(the hell of America).......mnapoteza energy zenu bure, yeyote anayechukulia thread hii seriously, basi ana matatizo makubwa sana huko kwa "upstairs" yake. Nafunga bakuli langu hamnioni tena kwa thread hii!!!.

great !! huyu mwanakijiji = mr.....................
 
nimesikia lugha za mtaani dar uongozi siku hizi unaitwa ufisadi. Konda wa daladala amesikika akiwaambia abiria wake kuwa anataka kwenda dodoma kugombea ufisadi.
 
How much does MKJJ cost, i am nnot sure he is so cheap! You know what, it will be good idea if all the pictures will be circulated in our Private mails, so as all can worth like Mwanakijiji, hapo ndio tutaona uwezo wa RA kutununua. Advocate anaweza kufanya study kujua thamani yetu wote, na yeye picha hizo zikimfikia anaweza kununuliwa pia.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom