Light saber
JF-Expert Member
- Nov 3, 2017
- 4,129
- 7,445
Ant man And the wasp kidogo imegusia hili,.Practically haiwezekani universe kurudi nyuma, ila theoretically in a layman explanation, unaweza kutengeneza time machine au system ukaingia humo ukaishi na ukarudi nyuma in time lakini ila ukitengeneza saiv huwezi kurudi utahitaji infinity energy kucreate hiyo system maana inabidi uwe unaenda zaidi ya speed ya mwanga ambapo utakua umeviolet quantum mechanics na relativity sababu kitu kinacho karibia mwanga mass yake huongezeka hivo kinakua kizito na gravity inakua kubwa...na ukifikia au kuzidi speed ya mwanga relativity ya Einstein inakua invalid tunaisahau unaunda branch ya physics yako mpya ambayo sio relativity tena nahisi itakua Variant infinity theory..au Newton theory inakua universally non doubted tena na nazani Tesla Dynamic theory of gravity, aether theory inakua valid pia..mkuu
Pia Lost Lost wamepotray both Future and Past time travelling
Sent using Jamii Forums mobile app