Eid ulisheherekea vipi?

Mama Big

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
488
7
WanaJF habari za mapumziko ya kusheherekea Eid! Mama kubwa anapenda kujua jinsi ulivyosheherekea....ulikuwa wapi na ulikula nini
 
nilisherehekea na bigirita wangu tukifundshana tution ukoooooooooo...haha haha jamn anafundsga vzur uyo!!!!!!
 
Mjukuu salama jamani shukrani za hali na mali zikufikie bi mkubwa amefurahi more than she could ever explain amesema she has got a new family sasa hivi
Surely we love her too.......................... ila Babu mdogo we naye mkali!! Bibi kiwango
 
Rose mamito ...........rule namba 3 inawashinda .ndio nini umemmonopolize Bigirita??

Hahaaaaaaaaaaa haaaaaaaaaaaaaaa
tuliexchange..yeye alienda kufundshwa na RR mi nkaenda na big
nikajaza masufuria yangu kwenye tukutuku yake tukaenda ukoooooooo porin nkapika matembele na mdudu alikuwa anabanikwa na ka st anna kwa pembne basi nkaelewa somo mpk raha.......j1 tunaenda kumalizia somo!!!!!!!!!
 
Surely we love her too.......................... ila Babu mdogo we naye mkali!! Bibi kiwango

Acha tu pale ni kama Tyson hamna mchezo na mtu, well nina maswali lukuki najua majibu yake hauwezi kuyakosa si unajua Babu tena anataka aende njia iliyo sawa
 
Hahaaaaaaaaaaa haaaaaaaaaaaaaaa
tuliexchange..yeye alienda kufundshwa na RR mi nkaenda na big
nikajaza masufuria yangu kwenye tukutuku yake tukaenda ukoooooooo porin nkapika matembele na mdudu alikuwa anabanikwa na ka st anna kwa pembne basi nkaelewa somo mpk raha.......j1 tunaenda kumalizia somo!!!!!!!!!
Heee.......pamoja na kupewa siku nzima somo halikuisha?? bado mwataka retreat?? Makubwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom