Eid ulisheherekea vipi?

Wala hakuna haja ya JF ya jirani....vijana tunaoheshimika kwa kina babu tupo tumejaa tele MJ1..so worry not

Ivi dawa na hangova ni nini?

Dah....naona imenikomalia hadi sa hizi.......hivi via mobile haisadii?:smile::smile:
 
Dah....naona imenikomalia hadi sa hizi.......hivi via mobile haisadii?:smile::smile:

Aisee.....we need a resolution kwa hizi sikukuu za kati kati ya wiki.....zote ziwe zinapelekwa ijumaa
 
Hahaaaaa....Hivi zosa dovutwa hawezi kusaidia?

hahahah....If EID is equal to any working day then its friday....if X-mass is any Sunday, then its Friday

If not then thursday is saturday

Mama Bigi lazima accomment hapa!
 
Digidigi anapomwombea simba kifo...!
Digi dig is no longer exist
We ebu shindwa na ulegee ulikuwa na nani mimi au mama dig dig....kwanza unaongelea kwenye pilau,supu au makange tumboni kwa Roya, Rose na Bigirita
Roger that.....(nitengenezee na supu ya ukoo wa digidigi)
Naona kuna dig dig wa kiume amenona sio yule mkondefu utapata
Valuuu na supu ya dig dig
Kuna kitu kinaitwa ADDICTION hapo nadhani mmenielewa, hivi hii thread inazungumzia supu?
 
hahahah....If EID is equal to any working day then its friday....if X-mass is any Sunday, then its Friday

If not then thursday is saturday

Mama Bigi lazima accomment hapa!

MAGAZIJUTO kwanza then ndio useme equal to what....
 
WanaJF habari za mapumziko ya kusheherekea Eid! Mama kubwa anapenda kujua jinsi ulivyosheherekea....ulikuwa wapi na ulikula nini

Mama Bigi hebu muulize digidigi kwanini anadanganya wakubwa zake.....if he could have done the needful, then our answers on this question would be the same....
 
Mama Bigi hebu muulize digidigi kwanini anadanganya wakubwa zake.....if he could have done the needful, then our answers on this question would be the same....

We siuliona pale alivyokuwa kakabaliwa kashikwa hata kuruka ruka alikuwa hawezi tena....kumbe alitudanganya hata kwa into pia alichiti...hakuwa mama kwanza tunamjua sisi ni mama kwanza katika jamii ya dig dig
 
we siuliona pale alivyokuwa kakabaliwa kashikwa hata kuruka ruka alikuwa hawezi tena....kumbe alitudanganya hata kwa into pia alichiti...hakuwa mama kwanza tunamjua sisi ni mama kwanza katika jamii ya dig dig

ha ha ha ha ha
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom