Eid Mubarak!!

Ndugu wana JF, Eid Mubarak, tuombeane kheri katika siku hii muhimu.nawatakia kila la kheri, mungu atutimize matwaka yetu, atupe Uzima,Afya,Busara ,Maisha Marefu yenye neema.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu tz wanakula kesho, ila naona hapa mtaani kwangu kuna vikundi vimevalia kanzu na tayari wameshasali sijajua ni kwanini hii kitu ina mgogoro! Eti suni wao wanasali leo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom