Eid Mubarak kwa wanaJF wote

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,991
17,888
Nawatakia wana jamiiforum wenzangu wote eid njema......

Tusherehekee kwa amani na upendo....

Kesho karibu dunia nzima inaadhimisha sikukuu ya eid...

Hii siyo eid ya wale kina sheikh alhadi wa bakwata/ccm......

Eid njema
4bsifbbbf30f511flcw_440C247.jpg
 
Faida ni kwamba three causecutive days tunasheherekea.
 
Back
Top Bottom