.....ehe...aaah kumbe upo...!

driller

JF-Expert Member
Aug 25, 2011
1,116
240
dingi moja lilikua linajifanya lenyewe na mambo ya maadili mazuri ni kama kidole na pete..! yani lilikua likisikia mtoto wake anademu ni balaa humo ndani..! lilikua hadi linapekua laptop ya mwanae ili kuona kama kuna picha za ngono..! sasa dogo akawa na cd flani za KITENGO(x).. na alikua anazificha chumbani kwake..! sasa kama kawaida ya dingi alikua hadi chumbani anapekua.. siku moja akazifuma zile CD.. akaenda chumbani kwake kwenda kuzi watch..! mambo yakamnogea huko..! alivyomaliza akazirudisha kabla dogo hajarudi kutoka shule.. siku ya pili akazichukua tena..! siku hii akachelewa wakati dogo amesha rudi..! dogo alivyotoka jioni dingi akazirudisha fasta..! siku ya tatu baada ya dogo kuona kunamtu anashika ile sehemu aliyoficha CD zake akazihamisha..! then siku ya nne sasa..! dogo alikua haendi shule so akawa yupo ndani tu..! dingi bwana likawa limesahau kua dogo haendi shule ..! likaja likanyata likaingia chumbani na likaenda likawa linafungua fungua kwenye ile sehemu dogo alipokua anaficha zile CD wakati wote huo dogo alikua anamcheki tu dingi wakati yeye akiwa kitandani...! dogo akasubiri mpaka dingi alipo zipata pale mahali pengine..! ndio akasema "...kumbe ni weeewe..." dingi kwa butwaa akajichekesha "..ehe...aaah kumbe upo...!
 
Teh teh teh teh
 
huh..................naanza kumgombeza kua haya ma CD machafu yanafanya nni humu ndani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom