EGYPTIAN musical Club

duh!

inaelekea kizee niko peke yangu humu

Ustadhi upo? Naona umeibuka ghafla na kuulizia nyimbo za Kimisri..ulikuwa umefichwa na bibie wa Kiegypt nini? Ningekushauri uzitafute online..au kama una specifics names nipe kunamegypt mmoja nitamuuliza.
 
Nina santuri nyingi sana haza zile zenye lebo ya "Saba saba," "Polydor" na "Phillips" zilizokuwa zinatengezezwa huko Kericho Kenya. Kati ya hiyo collection kuna santuri kadhaa za Egyptian Musical Club, Lucky Star Musical Club na nyinginezo.
 
kuna mtu alikuwa anazo kwenye CD lakini nilishindwa kurekodi.

nishatafuta kila kona (online) lakini nimegonga mwamba
 
Hivi nyie humu kujidai watu wa zamani mmeshindwa kunipa link ambayo ninaweza kupata nyimbo za Egyptian?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom