Amoeba
JF-Expert Member
- Aug 20, 2009
- 3,289
- 781
Wabongo bana, hivi kuna mito mingapi Tanzania mnashindwa kuitumia?, huo Nile mna mipango gani nao? au ndy kawaida yenu kupiga kelele tu. Wamisri Nile inawaweka hai, wacha watetee uhai wao, mnataka wafe? Siku itapofika tunahitaji maji ya Nile kiukweli hakuna wa kutuzuia, nasema HAKUNA WA KUTUZUIA!!!..na wakati huo raisi wa TANGANYIKA atakuwa Amoeba Jr! nakuhakikishieni itakuwa man to woman, wafe wao tufe sisi!