Egypt refuses to give up one drop of its right to Nile water

Kenya has been biggest supporter of cooperation among East Africa countries,....the United states of east africa (federation) as well. However, one thing makes me doubt about their royalty and unity in this region, that's their act of abstaining from signing the Nile basin water utilization signed a few days ago.....does this mean that, kenya who shares only 6% of lake victoria didn't have interest on the issue?, wasn't important for them?, felt that other countries benefit more from the lake than themselves or it is just their other side of the coin to make people think they are together with us while not? do you think kenya is royal to east african countries? so if may be egypt was to declare a war today, kenya who did not sign would be out of that, that is what they wanted it be or they were afraid of egypt? why should tz cooperate with this country if they don't support issues of our interests?
 
sisi Watanzania tu wajinga na wavivu wa kufikiria, hiyo kitu ya EAC haiwezi kuwork out, just imagine hakuna hata mkenya mmoja aliyekuwa anafanya kazi EAC ya kipindi kile ambaye hajapata mafao yake, lakini watanzania bado tunasumbuka mpaka leo kuwalipa hao wazee mafao yao, hao wakaenya huwa wako makini na mambo yao tu, lakini sisis ni kusign hata vitu ambavyo vitakuja kutuumiza baadae
 
Napenda kusapoti hii thread kwa nguvu zangu zote, nafikiri Tanzania inatakiwa iwe makini sana na kenya, tunatakiwa kushirikiana nao lakini mguu mmoja ndani mguu mmoja nje kama walivyo wao...unaona sasa hapo wao wako mguu mmoja ndani mguu mmoja nje ndo maana wamekwepa kushirikiana na nchi zingine za east africa kwenye hili jambo. mimi nimelisema sana hili pia.

Just imagine, kama nchi zote hizo zingesaign, kungekuwa na nguvu moja kubwa sana ya huo mkataba....sasa kwasababu nchi zingine hazijasaini basi hata misri wenyewe wanajua kuwa hatuna umoja, hatujajizatiti hivyo watakuja na sura nyingine. nakwambia kama nchi zote zingesaign, ingekuwa na nguvu kubwa kuliko hii iliyopo sasahivi. mmewasikia wamisri walivyosema sasa juu ya hili baada ya kusaini? kwasababu wanajua kuwa kumbe kuna nchi zingine zinawaogopa...nampongeza waziri wa ethiopia aliyetangaza kwa nguvu zote kuwa, maji yatatumiwa tu ethiopia na kama misri wanataka vita, waje wanakaribishwa.....kama federation wanayosema itakuja kutokea kweli, hivi kenya itakuwa excluded kwenye kufaidika na haya maji au vipi, kwasababu hawajalichukulia umakini hili jambo..wakenya milioni kumi mwaka jana walikuwa hawana chakula...maji haya yangetumika kusambaza sehemu za tz ambazo hazina hata maji ya bomba, kumwagilia kwenye mashamba ili wakenya nao wapate chakula wasife njaa...KITENDO CHA KUTOSAIN SIKU ILE, hata kama watasain siku ingine, kimepunguza nguvu ya umoja wetu katika jambo hili, na ni kitu kibaya sana...

imagine mnaahidiana kwenda kufanya jambo na mtu, halafu hatokei, inauma ujue. inanikera sana kwakweli...nafikiri tz itabidi iwe makini na hawa watu...pamoja na kwamba lazima tuhakikishe tunashirikiana, lazima tuwe makini, tusiwaamini sana, mguu mmoja ndani mmoja nje...this is my advice kwaajili ya nchi yangu Tz niipendayo sana.
 
sisi Watanzania tu wajinga na wavivu wa kufikiria, hiyo kitu ya EAC haiwezi kuwork out, just imagine hakuna hata mkenya mmoja aliyekuwa anafanya kazi EAC ya kipindi kile ambaye hajapata mafao yake, lakini watanzania bado tunasumbuka mpaka leo kuwalipa hao wazee mafao yao, hao wakaenya huwa wako makini na mambo yao tu, lakini sisis ni kusign hata vitu ambavyo vitakuja kutuumiza baadae

kusign mkataba ule kungekuumiza nini, kuna watu wangapi mkoa wa arusha, mara na kwengineko hawana maji ya bomba? misri wamejenga artificial lakes zingine kwaajili ya leisure tu. hapa tz tunashindwa kujenga hata mabwawa ya maji kama walivyofanya uganda ili kuondoa tatizo la kukatika kwa umeme...elezea kidogo point yako..actually mimi nasapoti sana kitu ambacho jamaa ameeleza hapo juu. si watz wote wajinga, na hatukuwa wajinga kusign ule mkataba juzi.
 
sisi Watanzania tu wajinga na wavivu wa kufikiria, hiyo kitu ya EAC haiwezi kuwork out, just imagine hakuna hata mkenya mmoja aliyekuwa anafanya kazi EAC ya kipindi kile ambaye hajapata mafao yake, lakini watanzania bado tunasumbuka mpaka leo kuwalipa hao wazee mafao yao, hao wakaenya huwa wako makini na mambo yao tu, lakini sisis ni kusign hata vitu ambavyo vitakuja kutuumiza baadae

aisee Kituko, acha vituko kwa kweli...watz ni wajinga? ilikuwa ni muhimu kusaini ule mkataba mkuu kwasababu maji yako kwenye nchi yetu. east africa will work out, na kutopewa mafao kwa wazee wetu haimaanishi kuwa sisi ndio wajinga kuliko wakenya...kama wakenya wako makini basi na sisi tunatakiwa kuwa makini ktk kushirikiana nao. mkataba uliosainiwa majizi si kwamba tulikuwa hatujui tunachosign, tulikuwa tunajua na faida zake tunazijua..mwulize kikwete yale maji ameenda kuzindua majuzi tu kule shinyanga sijui ni faida au vipi...mkataba huu hauwezi kuja kutuumiza badaye...pia, mkataba wa zamani uliosainiwa na wakoloni (sio watz), ndio huo ambao tulikuwa hatujui, ila huu wa sasa kusema kweli, kenya wamesaili east africa na wanatakiwa kuomba msamaha na kuambiwa ukweli waziwazi.
 
Maybe we need to evaluate ourselves (decisions we make for what,who profits;is it me,or the nation etc).They seem to be smart and ponder first whether any move they make to support or not to anything is going to be benefit them,as a country.Why didn't they support our bid to sale tusks?
Labda kwao when you talk of EAC,they secretely say 'Kenya first'. Labda kuna mambo ya kujifunza kutokana na tabia yao.
 
Kwa kweli nilikuwa sijagundua, lakini EAC has a long way to go to conquer the hearts and minds of EAST AFRICANS especially Tanzanians. Yaani inaonekana ndugu zangu wabongo..hamuwakubali wakenya kabisa (au Kenya?)! Duh, to me I would say, thats a challenge for politicians to sell this EAC to common wananchi. Otherwise, Iam afraid kwa mwendo huu..gradually, people will sabotage the whole project. By the way we had this EAC passport thing...what happened to it?

I support EAC..but politicians must be categorical to sell this thing to common wananchi. Na I should also ask our brothers (and sisters) in Kenya, they should really undertand and take seriously concerns za watanzania (the rest of the members can wait and see what Kenya and Tanzania decide). Because, history is very much against Kenya for having KILLED the first EAC on selfish grounds moreover. So instead of usual pluff pluff....they should be candid to show that they are not using this EAC to advance their intentions (bad?) or anything suspecious (they should learn from Germany and Germans-how they managed to cool off their European cousins after the third Reich of Hitler). Kwa sababu as we move forward I really see, most TZs are agains this EAC. Yet with right strategies and trust, EAC can work wonders.

Instead of Kenyan media bashing sceptical Tanzanians, they should concetrate on reassuring her neighbours about their ambitions and correct their history.

About the Nile Treaty, I think Kenya (and rightly so) is just playing its diplomatic card. Maana Egypt ni one of the biggest trading partner wake. But this should be a warning sign to anybody interested in regional integration that each country is first and foremost interested in its OWN priorities. So, Wakenya nadhani na wao wasishangae wakiona watanzania wanakuwa sceptical na hii EAC..Tanzania is simply exercising its sovereign right of determining and giving its priorities first bet. Otherwise, we are neighbours and so our fate is closely linked and to that its simply a geographical accident. we should just learn to co-exist as peaceful friends.
 
beware of kenya that evil neigbouring country to the north.

Mkuu this is too much. You can disagree with somebody without name branding. Even if they do similar things by calling us names, we shouldnt do that to them. Its in bad taste.

Masanja
 
naipenda sana tz, napale inaposalitiwa, huwa sikubali kwakweli. nafikiri they should wait for their turn, pale tutakapojali maslahi yetu kwanza kuliko ushirikiano nao kwa baadhi ya vitu....na wala wasilalamike kuhusu suala la ardhi ktk jumuiya kwasababu sisi nasi itabidi tuendelee kujali maslahi ya wananchi wetu kwanza. Mungi ibariki Tanzania.
 
It's really disgusting for what we Tanzanins take ourselfs into....we risk more than what it's worth and yet at the end we end being the fools....Mimi naunga mkono hakuna benefits za maana tutakazopata kutokana na hii EAC kama tumeshindwa kuzifanyia kazi shida zetu kwa nini tuanze kununua na shida za nyumba nyingine?
 
No, East Africa ni muhimu, lakini ni kwa kuingia mguu mmoja ndani mguu mwingine nje..kama wao wanavyofanya. kama tunaenda kichwakichwa tutaishia kuwa wajinga siku zote...ila jumuiya ni ya muhimu mkuu. cha maana, kwa upande wangu mimi, natuma ujumbe kwa viongozi wetu hasa watakaosoma thread zetu humu JF, kama hii aliyoanzisha uyu jamaa, najua kuna wabunge na hata rais anasoma hii JF, WAWE WAWAZI KWA WAKENYA, WASIWAOGOPE NA KUWAGWAYA, waambie tu kuwa tunahitaji kuweka interest zetu kama east africa kwa pamoja, si vyema kama kila mtu anaenda kivyake hivyo...sasa hata community yenyewe haijakomaaa, wale waliokuwa wakwanza kupiga debe wanakuwa wakwanza kuwa wasaliti, walichokuwa wanapiga debe nini sasa? wanatuchezea akili ehee, THEY DON'T PRACTICE WHAT THEY PREACH
 
Mie binafsi ninapendelea sana tuwe na uhusiano mzuri baina ya nchi za Afrika ya Mashariki na ya Kati. Tushirikiane kwa hali na mali ili kufanya watu wetu wawe na maisha mazuri, na eneo lote lipendeze kuwa sehemu nzuri ya binadamu kuishi. Hata hivyo sikubaliani kabisa na hiyo imani ya kuwa ili tufanikishe ahilo ni lazima tuungane kwa kuvunja sovereignty za nchi zetu na kuondoa mipaka ya nchi zetu kuruhusu watu waingiliane kiholela. Hata ukiangalia katika muundo wa watu binafsi, mnaweza kushirikiana kuendeleza kijiji chenu lakini kufanya hivyo siyo lazima kuvunja nyumba zenu eti kila kitu kiwe holela kwa watu wote; lazima kila mtu atunze nyumba yake, mkewe na watoto wake. Nyerere aliaribu kufanya hivyo Tanzania akashindwa, na kwa jinsi alivyokuwa na busara na jinsi sisi watanzania tulivyokuwa hatuna ubainsfi wakati huo lakini bado Nyerere alishindwa, siyo kweli kuwa viongozi uchwara walioko madarakani sasa hivi na ambavyo watu tumebadilika na kuwa na wabinafsi zaidi eti tunaweza kuunganisha nchi zetu kutegemea kuleta maendeleo yoyote kwa watu wetu; tutazidi kuvurugana na kutengana zaidi jambo ambalo litavuruga nchi zetu na kuzidi kurudi nyuma zaidi.

Tuangalie wenzetu walioendelea USA, Mexico na Canada ambao wana muungano wao wa kibiashara (NAFTA) lakini hawajavunja na wala hawana mpango wowoet wa kuvunja mipaka yao kuondoa sovereignty za nchi zao eti kwa sababu ya muungano huo. Kutoka kanada kwenda Marekani lazima mtu awe na passport iingizwe kwenye computer za uhamiaji kuwa kuna Mkanada kaingia USA, na akizidisha muda wake wa kuishi Marekani bado atasakwa na kufukuzwa kwa nguvu. Kilichorahisihwa katika uhamiaji wao ni kuondoa ulazima wa Visa, lakini lazima uwe na passport. Hiyo ndiyo stage tunayotakiwa na sisi Afrika ya Mashariki tuifikie lakini siyo kufuta mipaka yetu huku tukiwa na tofauti kubwa sana baina yetu zinazotokana za kuendeshwa na serikali zenye mitazamo tofauti kwa zaidi ya nusu karne.
 
Niko interested kusikia unasemaje KUHUSU KITENDO CHA KENYA KUTOSAINI ULE MKATABA, kwasababu tunataka kutoa ujumbe kwa Kenya through JF...viongozi wanaosoma humu, wabunge etc, watafikisha ujumbe, si unajua JF ni chanzo cha habari karibia zote siku hizi, hata magazeti wengine hatusomi siku hizi, kwasababu waandishi wanacopy humuhumu wakati tulishasoma muda mrefu.

tell us what your opinion about this behavior of kenya, hayo mambo ya nafta sijui nini yatakuja badaye. hilo ndilo lilikuwa lengo langu kuweka thread hii.
 
Mkuu this is too much. You can disagree with somebody without name branding. Even if they do similar things by calling us names, we shouldnt do that to them. Its in bad taste.

Masanja

Masanja, Nomasana mwenyewe ni Mkenya. He is being sarcastic
 
Mkuu this is too much. You can disagree with somebody without name branding. Even if they do similar things by calling us names, we shouldnt do that to them. Its in bad taste.

Masanja
Whaaat!!? Are you trying to be more Catholic than the Pope?
 
[Egypt says it is still hoping to negotiate, failing that it has threatened legal action]
hapa kazi ipo.......ulizeni airforce ya egypt halafu compare na ya TZ?? ulizeni marine force ya
Egypt halafu compare na TZ?? siku 2 tu zinatosha kwa mafarao kuipundua hii nchi
 
Back
Top Bottom