Egypt na wenzake wana nafasi gani kwenye AU

Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,873
1,894
Kwa muda sasa nimekuwa najiuliza kwamba kwenye AU siwasikii hawa Egypt , Morocco , Tunisia etc. Lakini wako kwenye michezo kama Mpira na hata nadhani Makao makuu wa CAF yako Egypt .Kwenye siasa wake wako Middle East na umoja wa AU sina hakika Nchi nilizo zitaja ni members . Bara moja mambo tofauti .Naomba kujua kama kuna mtu mweney info zaidi juu ya hizi Nchi na namba vinavyo hesabiwa kuwa Africa ama kwa ramani ama kwa matendo yao ?
 
Heshima wakuu

Pole kwa kazi ngumu

Kwa ufupi hawa watu hawawezi kuwepo.

Mkuu Mkombosi hawa watu hawawezi kuwepo kwa sababu ipi ?Si waafrika ? Je ni wapi wanapofika na kuhesabiwa waafrika ?
 
Egypt and African Union

Born out of the womb of the Organization of African Unity, the African Union was proposed in September 1999 at a summit conference in the Libyan coast city of Surt. Egypt had an active role to play in the Lomé Summit, known as AU's constitutive assembly. The Egyptian delegation submitted two amendments, which were both endorsed. The first was to Article 4 restricting Union intervention as follows:
h) The right of the Union to intervene in a Member State pursuant to a decision of the Assembly in respect of grave circumstances, namely: war crimes, genocide and crimes against humanity.

The second was to Article (25) introducing Arabic to AU's working languages as follows:
The working languages of the Union and all its institutions shall be, if possible, African languages, Arabic, English, French and Portuguese.

Earlier on, in the 1960s through the 1970s, Egypt was active helping African countries gain their independence. This role sustained even in the 1980s and 1990s, during its presidency of the 25th session of the OAU, with its high-profile participation in the quest to eliminate racial discrimination in Namibia and South Africa. Towards this end, Egypt dispatched a peace-keeping force to take part in supervising elections in Namibia and participated in drafting the Harare Declaration of August 1989, which called for an end to apartheid in South Africa and appealed to peace-lovers throughout the globe to push for the release of political prisoners, particularly Nelson Mandela. 50 Egyptian experts were also on hand observing elections in South Africa.

Africa's debt
With the 1980 figure for Africa's debt calculated at 5 times that of the 1970s, Egypt has exerted its utmost to solve the problem. So far, it has submitted a number of proposals all designed to ease off the burden of the continent's debt. These include:
The writing off by rich countries of some of Africa's debts, especially military debts.
The long-term re-scheduling of debts.
Reducing interest rates
IMF compensation of the balances of payment of crisis-hit African countries, and World Bank contribution to development projects.
The convening of an international conference of rich and donor countries as well as regional and international funding agencies with the ultimate purpose of alleviating the burden of Africa's debts.
Revitalizing the process of export-geared production.
Drought and desertification
Egypt has, in accordance with the resolutions of the OAU, expressed its willingness to host African missions seeking to train in the fields of agriculture and industry. Egyptian experts have also been dispatched to African countries to improve agricultural productivity and achieve food sufficiency. In 1997, Egypt, moreover, contributed the sum of US$100 thousand to fighting drought and famines in Africa.

Key Egyptian initiatives
June 1993: The creation of an Egypt-proposed African dispute-resolving mechanism.
January 2005: Egypt proposes the establishment of the Endemic & Communicable Diseases and AIDS Center
January 2005: Egypt proposes the creation of the Council for African Ministers of Power & Electricity.
January 2005: Egypt says it is willing to host the African Union Satellite Channel.

source http://www.sis.gov.eg/En/Politics/Foreign/EAfrica/EgyptAU/040310020000000001.htm
 
Kama si member wa nchiza kiafrika kisiasa nadhani muda umefika wa kuwaondoa kwenye ligi ya Africa.
Sisi tujionao waafrika tucheze wenyewe kwa wenyewe.
 
geographically egypt is in africa but politically hawa jamaa are middle easterners kwanini? lazima ujue history kidogo, kama wewe ni mkristo unajua kwamba katika book of genesis bible inaeleza jinsi binadamu wa rangi zote wametoka wapi, africans are believed to be descendants of ham one of 3 sons of noah, and ham had four sons egypt, cush,put,and canaan na kama wewe ni mfutiliaji wa hawa mambo utagundua kuwa all of ham sons are black except the so called modern egypt is arab, why? arabs are invaders in african continent thats why they pushing too hard to occupy southern sudan cause northen is arab already, thanks to brothers in southern sudan to stop these bastard arabs they could have taken the all east africa if they were not stop in sudan,arabs belong to arabian peninsula not in land of blacks, egypt used to be known as kemet which means land of blacks. kwa hiyo msitegemee kuona waarabu wanajihusisha na mambo ya blacks, we angalia gaddafi na bodyguards wanavyodharau blacks, okay wajameni ngoja niwahi job.
 
Nakubaliana na wewe, EGYPT hawajisikii kabisa kwamba ni waafrika ,ni wavamiaji -waafrika original wa Kemet(egypt) ni hao mafarao,hao waliopo egypt sasa hivi ni wavamizi (asiatics)na walianza kuingina egypt kutoka Urasia 500BC, mwaka ambao ufalme wa kifarao ulikufa.

Lakini hawa watu ni wanafiki sana,wanapenda sana kuchukua advantage zinazot0ka kwenye AU lakini ukiwauliza, nyinyi ni waafrika?Watajibu no! We are arabs/middleeastern although they are in Afrika.

Yaliyosemwa hapo yanaweza kusemwa pia kwa Morroco, Tunisia, Libya,Argeria,Hawa ni wavamizi na wana struggle sana kuchukua identity ya uafrika.
 
It is not aboit time sasa JK akatoa msimamo ana akahoji Nchi hizo na kupata advantages za AU ? Ki soka si muda sasa walete Makao Makuu Dar badala ya kubakia Egypt maana hawa ni waarabu ambao wanaukataa Uafrika ?
 
Mimi nafikiri pia licha ya kujifanza waarabu lakini ukimuuliza mtu yeyote kutoka katika nchi hizo atakwambia kwamba yeye ni ama Mmisri, Mtunisia au Mu-Algeria.

Katika wote ni wa-Tunisia tu ndio kidogo wanaonekana wanajibanza kwa Ufaransa kwa sababu ya lugha ingawa wanabakia kuwa ni waafrika na wana damu ya kiafrika.

Wamisri hasa bado wanajiita hivo na wanatumia tu kiarabu na kujipendekeza zaidi na watu wa Middle East ambao ndio waarabu halisi, ingawa kwa ndani roho inawasuta kwani wao si waarabu.

Katika historia pia tumeona katika suala la Nationalism ilibidi Gamal Abdel Nasser afanze kazi ya ziada ya kuwaelimisha watu hawa kuhusu utaifa kwani ni kati ya watu ambao wameonja kutawaliwa kuliko labda watu wengine duniani kutoka kwa utawala wa Ottoman mpaka Uingereza.

Lakini kwa ujumla historia ya watu hawa inachanganya zaidi kwani hawaeleweki wapo upande gani.

Ila kwenye masuala kama michezo na mengine tunaweza kushirikiana nao na wachezaji wetu wakawa wanaenda huko.
 
issue hii ya arabs katika africa is exactly the same as arabs in israel they are simply invaders. history says that the land of canaan which later on become israel was given to abraham by GOD himself , na mungu akamwambia hii land nakupa wewe na vizazi vyako yaani issac and jacob (israel) lakini kumbuka kwamba israel imepitia kutawalia na jamii mbalimbali roman empire ilitawala israel watu wa mwisho kutawala israel ni arabs this was known as islamic conquest of israel hapa ndio wakakufuru wakajenga mpaka msikiti pembeni ya hekalu la king solomon na mpaka leo huo msikiti upo,sasa in 1948 israelis decided to revive their nation after being killed in so many numbers by hitler, kumbuka kwamba hawa jamaa walitawanyika sehemu zote duniani lakini kuna wachache tu ndo walikubali kuishi chini ya tawala mbali mbali mojawapo ni hiyo ya waislam waarabu, kwa hiyo wenye nyumba walipoamua kurudi kwao ndio arabs wanaanza ohh hapa kwetu, kwenu nini? rudini huko arabia.nyie ni wavamizi tu kama walivyokua roman empire wakati wa jesus, maana yesu alizaliwa na kukua wakati israel ikitawaliwa na romans.
 
Sawa kabisa.'Arab Nationalism' inatumika sana na waarabu kudai ardhi na mambo mengine yasiyokuwa yao.Kwa jinsi waarabu walivyoichukua Misri, waka 'arabise' population na kuwaondoa waafrika original wa misri ndivyo hivyo hivyo walivyofanya Israel.

Ni watu wachache sana wanaojua sumu ya Arab nationalism,hii ni ideology inayochanganywa na dini ili kuiba ardhi za watu wengine!!Na wajinga wanaiangukia! Na ni sumu hii hii inayotumika huko Sudan mpaka leo hii ambako kuna watu ambao ni weusi kama kiza lakini wanajiita 'arabs'! huku wakiwaua waafrika wenzao.

Hebu jiulize,centre ya arab world ipo wapi? Ipo Egypt,Afrika,haipo 'midlle east' .Walebanoni walikataa 'arab' identity na lebanon ipo mideast, unajua kwanini?

Nkurumah alijitahidi kuwaingiza egypt AU mpaka akaoa huko, lakini politically na culturally sizani kuwa hawa ni waafrika whatever what that means.
 
duh! hii kazi kweli kweli,thank you for your analysis.
 
Egypt walikuwa members wa OAU na sasa ni member wa AU.Morocco walijitoa kutoka AU kutokana na msimamo wa OAU kuhusu Shara Magharibi.

Waziri wa mambo ya nje wa Egypt alikuja Tanzania miaka ya sabini akamwambia Nyerere "Hii ndiyo mara yangu ya kwanza kufika Africa" Nyerere akabaki kushangaa.Wenyewe wanajiona waarabu zaidi kuliko waafrika.
 
Siku hizi kuna hii region inayoitwa "Middle East and North Africa", wameshindwa tu kuamua liwe ndio bara lao kujitenga na Africa iliyobaki, lakini kisiasa na kiuchumi ndio hali ilivyo, hawapendi utambulisho wa kiafrika.
 
Kijografia hakuna bara la 'middle east' Middle east actually ni extension ya bara la afrika.

Middle east is a political invention, invented by the british,for political reasons.

Subsahara afrika is also a misnomer there is no barrier between North and south Afrika.One can travel from southern to North Afrika without any problem via for example, the nile as africans have done for hundreds of years.
 
kama ilivyosemwa hapo juu moroko ilijitoa au kutokana na msimamo wa au kuhusu sahrawi (western sahara). kuna wakati moroko wanaonyesha dalili za kurudi au huku wakitoa masharti, na wanatiliwa ngumu na wanachama wa au. kuna wakati moroko ilijaribu kujiunga eu wakatolewa nje.

egypt wanakuwa waafrika wanapoona kuna maslahi ya kisiasa au wanapokuwa na mkakati wa kunufaika kiuchumi. jambo moja kubwa linalowaweka egypt au ni suala la mto nile. kuna wakati ethiopia walitaka jenga bwawa blue nile jamaa wa egypt wakawatishia vita na waethiopia wakagwaya. aidha mpaka leo wapo wataalamu wa egypt huko uganda wakifuatilia kiwango cha ziwa victoria.

ulikuwapo mkataba ambao waingereza waliingia na waegypt kabla ya tanzania, uganda , kenya, burundi na rwanda hazijapata uhuru wao. mkataba huu ulizikataza nchi zilizokando kando ya ziwa victoria kuyatumia maji ya ziwa hilo (mfano umwagiliaji) bila kibali cha egypt. tanzania ilipopata uhuru ilikataa kutambua mikataba yote iliyoingiwa na serikali ya uingereza. hata hivyo wa-egypt wamekuwa mstari wa mbele kuuonyesha huo mkataba pale ambapo tanzania, kenya na uganda zinapotaka kutumia maji ya ziwa victoria. ni vyema serikali yetu hatimaye ilipata nguvu na kuamua kwamba tutatumia maji ya ziwa mara tutakapoona tunahitaji. hata hivyo wa-egypt walikuja na gia na kuanzisha umoja unaoitwa "undugu" yote hiyo ni katika jitihadi za kusimamia matumizi ya ziwa victoria. cha ajabu wa-egypt wao wanayafayia biashara maji ya nile.

egypt wala sio wanachama wa united nations economic commission for africa bali ni wanachama wa united nations economic and social commission for western asia (wanachama wengine wa unescwa ni bahrain, iraq, jordan, kuwait, lebanon, oman, palestina, qatar, saudi arabia, syria, uae, na yemen)kwa orodha hii mtu waweza sema jamaa wa egypt wapo wapi.
 
issue hii ya arabs katika africa is exactly the same as arabs in israel they are simply invaders. history says that the land of canaan which later on become israel was given to abraham by GOD himself , na mungu akamwambia hii land nakupa wewe na vizazi vyako yaani issac and jacob (israel) lakini kumbuka kwamba israel imepitia kutawalia na jamii mbalimbali roman empire ilitawala israel watu wa mwisho kutawala israel ni arabs this was known as islamic conquest of israel hapa ndio wakakufuru wakajenga mpaka msikiti pembeni ya hekalu la king solomon na mpaka leo huo msikiti upo,sasa in 1948 israelis decided to revive their nation after being killed in so many numbers by hitler, kumbuka kwamba hawa jamaa walitawanyika sehemu zote duniani lakini kuna wachache tu ndo walikubali kuishi chini ya tawala mbali mbali mojawapo ni hiyo ya waislam waarabu, kwa hiyo wenye nyumba walipoamua kurudi kwao ndio arabs wanaanza ohh hapa kwetu, kwenu nini? rudini huko arabia.nyie ni wavamizi tu kama walivyokua roman empire wakati wa jesus, maana yesu alizaliwa na kukua wakati israel ikitawaliwa na romans.

Uchunguzi wa DNA unaonyesha waPalestina, WaIsrael, WaLebanon na WaSyria ni watu wanaotoka kwa maeneo hayo.

Hao ni watu wanaobadilishana makazi tu lakini wote ni wa maeneo hayo hayo.
 
Kama Morocco haiko kwenye AU inakuwaje wako kwenye CAF, si wajitoe kote kote tujue moja. Wamisri wa Alexandria nao wanajiona ni wazungu zaidi kuna kazi kweli kweli.
 
Uchunguzi wa DNA unaonyesha waPalestina, WaIsrael, WaLebanon na WaSyria ni watu wanaotoka kwa maeneo hayo.

Hao ni watu wanaobadilishana makazi tu lakini wote ni wa maeneo hayo hayo.

Hii Kali Mpenzi, unaweza nipa reference kidogo, itanisadia sana kwenye kujua mtawanyiko wa waisrael hasa baada ya vita kuu ya pili ya dunia kuna a lot of school of thoughts...kwa sisi watu wa anthropology unaweza ni pm vile vile
 
Back
Top Bottom