Lunyungu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 8,873
- 1,890
Kwa muda sasa nimekuwa najiuliza kwamba kwenye AU siwasikii hawa Egypt , Morocco , Tunisia etc. Lakini wako kwenye michezo kama Mpira na hata nadhani Makao makuu wa CAF yako Egypt .Kwenye siasa wake wako Middle East na umoja wa AU sina hakika Nchi nilizo zitaja ni members . Bara moja mambo tofauti .Naomba kujua kama kuna mtu mweney info zaidi juu ya hizi Nchi na namba vinavyo hesabiwa kuwa Africa ama kwa ramani ama kwa matendo yao ?