Latest Mpaka Sasa Mpira Bado Unaendelea Hali Ni Ngumu Kwa Ndugu Zetu Wa Cmeroon
Pdidy JF-Expert Member Nov 22, 2007 49,258 19,584 Jan 22, 2008 #1 Latest Mpaka Sasa Mpira Bado Unaendelea Hali Ni Ngumu Kwa Ndugu Zetu Wa Cmeroon
Idimi JF-Expert Member Mar 18, 2007 14,785 10,179 Jan 22, 2008 #2 Mkuu P Diddy, hii ungeweka pale kwa "African Cup of Nation Proceedings ingependeza zaidi! Kuna thread yake kule
Mkuu P Diddy, hii ungeweka pale kwa "African Cup of Nation Proceedings ingependeza zaidi! Kuna thread yake kule
C Chuma JF-Expert Member Dec 25, 2006 1,324 41 Jan 22, 2008 #3 duh...poleni sana..Kombe this year litakwenda Ivory Coast... Pdidy..umekusudia nini kusema Cameroon Ndugu zetu...?
duh...poleni sana..Kombe this year litakwenda Ivory Coast... Pdidy..umekusudia nini kusema Cameroon Ndugu zetu...?
Pdidy JF-Expert Member Nov 22, 2007 49,258 19,584 Jan 22, 2008 Thread starter #4 Labda Kuandika Hivi Watatusaidia Kutuachia Ma Binti Zetu Wapite Kwenye Lile Kombe Mkuu
Pdidy JF-Expert Member Nov 22, 2007 49,258 19,584 Jan 22, 2008 Thread starter #5 Idimi Nimekupata Mkuu
D Dotori JF-Expert Member Nov 3, 2007 544 24 Jan 22, 2008 #6 Egypt keshamfunga Cameroon 4-1 bado dakika 9 mpira kuisha.
Pdidy JF-Expert Member Nov 22, 2007 49,258 19,584 Jan 22, 2008 Thread starter #8 Uwiiiiiiiiii Ee Mungu Tusaidie Tuwafunge Na Madada Zao 4-1
C Chuma JF-Expert Member Dec 25, 2006 1,324 41 Jan 22, 2008 #9 duh...i miss this Funny Game...Hawa mafarao wanatumia nini?najua kwa miili cameroon wanatisha...
Pdidy JF-Expert Member Nov 22, 2007 49,258 19,584 Jan 22, 2008 Thread starter #11 Mpira Umekwisha Salamu Zao Wenye Majonzi