Eggs Incubator: Heat Controler

Mwanyasi

JF-Expert Member
Nov 16, 2010
7,955
7,101
Natambua uwepo wa watalaam hii makitu humu ndani, heshima kwenu. Aina ipi ya heat controller/ thermostat inafaa kwa incubator ndogo, kati, mpaka kubwa. Lengo ni kuandaa home made incubator maana kuku wamekuwa wavivu kutotoa.

Elimu haina mwisho.
 
unaweza kutumia
thermostat, RTD,thermistor na digital temperature controller ambayo ipo complex kidogo lakini ndio chaguo sahihi zaidi
 
Nitafute 0755815174
 
unaweza kutumia
thermostat, RTD,thermistor na digital temperature controller ambayo ipo complex kidogo lakini ndio chaguo sahihi zaidi
Ahsante mkuu, hii digital heat controller ipo madukani?
 
Back
Top Bottom