EFM: Interview na Harmonize, matangazo mengi mnakatiza maongezi hamuwezi kupata exclusives

ChizzoDrama

JF-Expert Member
Sep 29, 2019
1,317
1,229
Siku hizi ukifanya interview kali ni promo si tu kwa msanii bali na media pia.
Tumeona mifano mingi interview zikiinua vituo vya redio Kama Lil Ommy, Millard Ayo wakivikuza vituo vyao vya kazi kupitia interviews kali. Lakini E FM hamjui ku -interview ili mpate exclusives.

Anayesikiliza muda huu atanielewa.
 
Kusikiliza interview EFM ni shida. Wanauliza swali mtu akianza kujibu utasikia tunarudi muda si mrefu matangazo mengi bila mpangilio
 
yaani itavyuu sijui imeisha au bado maana hata kuaga hawajaaga yaani FAKENI
Hahah mimi redio zinazoshinda zinapiga singeli/michiriku naona ni za kijinga jinga na nikiIsikiliza zinanipunguzia akili tu kuzisikiliza.
 
Ukitaka interview nzuri msikilize Salama Na _________ kwenye YahStoneTown. Zamani ilikuwa LilOmy ila siku hizi Channel yake hakuna update yoyote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom