bluecolour
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 201
- 98
Huku Kukiwa Na Onyo La Mamlaka Ya Mapato Nchini TRA, Mgomo Wa Kupinga Matumizi Na Bei Ya Mashine Hizo Leo Umeingia Cku Ya Pili Baada Ya Kuanza Rasmi Jana... Wananchi Na Wafanyabiasha Wa Kutoka Mikoa Jirani Na Nchi Jirani Wakwama Kupata Huduma Ya Bidhaa Mbalimbali... Katika Cku Yake Ya Pili Leo Mgomo Umependeza Zaidi Maana Wamepata Kuungwa Mkono Na Wafanyabiasha Wenzao Wa Vyakula Wa Soko Kuu Ambao Jana Hawakugoma..! Hali Ni Tete Huduma Hakuna Mjini... Meneja Mkuu Wa TRA Akihojiwa Na Vyombo Vya Habari Alisema "Iwe Icwe Lazima Wafanyabiashara Wanunue Na Kutumia Mashne Hizo Na Wanachofanya Sasa Ni Kupoteza Muda" (cjui Yeye Ni Nani Nchn Mpaka Atoe Maneno Kama Hayo Wakati Wakulisemea Hilo Ni Waziri Wa Fedha & Uchumi) Na Wafanyabiashara Kwa Upande Wao Wanasema Hawatafungua Maduka Mpaka Kieleweke Mimi Yangu Macho & Masikio...