ukiingia hotelini dai lisiti.
ukiingia kwenye daladala dai lisiti
Hela nyingi sana hizo .....Mtaji vijiwe Vinne vya kuuza MatundaLaki nane
BANNED
Twenzetu wanalipia kodi vizuri tu ....Ila kwao vitu Vya msingi vyote kwao bureee ...exp. Matibabu ,shule n.kJamani mtazoea tu nchi zilizoendelea zinajiendesha na kodi, hata wauza karanga nao lazima walipe kodi, si wanapata faida. Maendeleo tutayaona kama pesa itatumika ipasavyo.
Tunajenga matumbo ya watu, wanaenda kulipana POSHO LAKI 4 PER DAY!bado shushaini na mama ntilie
mpaka kwa wauza karanga na matunda tutafikiwa, nchi itajengwa na wananchi
Ukiuza Toa lisiti na ukinunua Dai lisitiukiingia hotelini dai lisiti.
ukiingia kwenye daladala dai lisiti