EFD mpaka kwenye daladala.....?

Akhy D

JF-Expert Member
Jun 10, 2013
361
419
c862b7e620fc222ef5bf1851e3c2f342.jpg

232928ee067b10d3c33f5e54726ad42b.jpg

f905388c99d9b9c19b7a9c7d27490092.jpg

*You get what you work for not What you wish for*
 
bado shushaini na mama ntilie

mpaka kwa wauza karanga na matunda tutafikiwa, nchi itajengwa na wananchi
 
Tukiwa shuleni zamani sana Enzi za mwalimu tunakimbia mchakamchaka huku tunaimba
Taifa litajengawa na sisi vijana
Taifa litajengwa na wenye moyo
leo hii taifa litajengwa na wananchi wenyewe MAGUFULI kaza kamba tu hata kama matunda watakuja kuyafaidi wajuu zetu siyo mbaya
 
Jamani mtazoea tu nchi zilizoendelea zinajiendesha na kodi, hata wauza karanga nao lazima walipe kodi, si wanapata faida. Maendeleo tutayaona kama pesa itatumika ipasavyo.
 
Jamani mtazoea tu nchi zilizoendelea zinajiendesha na kodi, hata wauza karanga nao lazima walipe kodi, si wanapata faida. Maendeleo tutayaona kama pesa itatumika ipasavyo.
Twenzetu wanalipia kodi vizuri tu ....Ila kwao vitu Vya msingi vyote kwao bureee ...exp. Matibabu ,shule n.k
 
Back
Top Bottom