Eeh kumepooza humu ndani ..Kulikoni?

FirstLady1

JF-Expert Member
Jul 29, 2009
16,793
5,372
Jamani hapa ndani pamepooza sana leo kulikoni mabinanu ??
mna mikasa imewakumba weekend mbona hivi???
 
Jamani hapa ndani pamepooza sana leo kulikoni mabinanu ??
mna mikasa imewakumba weekend mbona hivi???
....Haa! haa! Haaaaaa, acha fujo wakwetu watu bado wanavuta kasi huenda jua likisogea sogea wapwa wataanza kufanya vitu vyao. Mi huku niliko leo kuna manyunyu basi natamani angalau ningekuwa nameguamegua. Hata hivyo karibu...
 
Jamani hapa ndani pamepooza sana leo kulikoni mabinanu ??
mna mikasa imewakumba weekend mbona hivi???

sijui ni go slow ama? hata mie nimepitia nikaona kuna kitu..... wengine hatunwyi chai kabla ya kuamkuana JF....ahahhahah
 
Changamsha jamvi bidada..

hahaha mie hata sijui nianzie wapi ? ila hawa mabinamu wengine nadhani bado wako chawote baa weekend inaendelea
wengine hang over za soda
wengine sijui walipata kibano weekend sipati majibu kabisa
 
hahaha mie hata sijui nianzie wapi ? ila hawa mabinamu wengine nadhani bado wako chawote baa weekend inaendelea
wengine hang over za soda
wengine sijui walipata kibano weekend sipati majibu kabisa
Mi nilijipendekeza jana nikaenda church. Nilijisahau kuwa nina aleji ya sakramenti! Lol! Pepo lilivotoka mpaka sasa niko hoi!
 
nimefurahi sana na mmekula senksi yangu marafiki zangu wooooote!
WAPWAAZ IMARA!
WAMWAAZ NI MHIMILI WA CENCRETE GRADE 40
 
We unajua kabisa kuwa idara ya fedha iko chini yangu, imekuwaje tena ukakamata uhazini kwenye projekti ya makambako?

Muulize binamu Kaizer yeye ndo alidelegate hilo suala nikurudishie uongozi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom