FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,792
- 5,374
Jamani hapa ndani pamepooza sana leo kulikoni mabinanu ??
mna mikasa imewakumba weekend mbona hivi???
mna mikasa imewakumba weekend mbona hivi???
....Haa! haa! Haaaaaa, acha fujo wakwetu watu bado wanavuta kasi huenda jua likisogea sogea wapwa wataanza kufanya vitu vyao. Mi huku niliko leo kuna manyunyu basi natamani angalau ningekuwa nameguamegua. Hata hivyo karibu...Jamani hapa ndani pamepooza sana leo kulikoni mabinanu ??
mna mikasa imewakumba weekend mbona hivi???
wewe mtundu...!Jamani hapa ndani pamepooza sana leo kulikoni mabinanu ??
mna mikasa imewakumba weekend mbona hivi???
Jamani hapa ndani pamepooza sana leo kulikoni mabinanu ??
mna mikasa imewakumba weekend mbona hivi???
sijui ni go slow ama? hata mie nimepitia nikaona kuna kitu..... wengine hatunwyi chai kabla ya kuamkuana JF....ahahhahah
Changamsha jamvi bidada..
Mi nilijipendekeza jana nikaenda church. Nilijisahau kuwa nina aleji ya sakramenti! Lol! Pepo lilivotoka mpaka sasa niko hoi!hahaha mie hata sijui nianzie wapi ? ila hawa mabinamu wengine nadhani bado wako chawote baa weekend inaendelea
wengine hang over za soda
wengine sijui walipata kibano weekend sipati majibu kabisa
Eheee! We ndo nlikuwa nakutaka. Ikawaje ukafanya mapinduzi ya ghafla?Kabaridi kidogo kamepoozesha wapwazz endi binamuz
Eheee! We ndo nlikuwa nakutaka. Ikawaje ukafanya mapinduzi ya ghafla?
Afu na wewe mbona leo hujanijulia hali? Nihesabu?
We unajua kabisa kuwa idara ya fedha iko chini yangu, imekuwaje tena ukakamata uhazini kwenye projekti ya makambako?Yapi tena hayo??????
MMMM husihesabu..... za tangu juzi my darling sweetpie???? pumpkin honeybunch???? ah! haya hutaweza?
nimefurahi sana na mmekula senksi yangu marafiki zangu wooooote!
WAPWAAZ IMARA!
WAMWAAZ NI MHIMILI WA CENCRETE GRADE 40
hehehe!Afu na wewe hako kabox kako ka Senksi hakaishagi Senksi?
We unajua kabisa kuwa idara ya fedha iko chini yangu, imekuwaje tena ukakamata uhazini kwenye projekti ya makambako?