Eeet Simu aliyopokea Lulu akiwa na The Great ilitoka kwa mzee wa TOT | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Eeet Simu aliyopokea Lulu akiwa na The Great ilitoka kwa mzee wa TOT

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Chillipo, Apr 12, 2012.

 1. Chillipo

  Chillipo Member

  #1
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 37
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuna tetesi zimeenea kuwa simu aliyopokea lulu ilitoka kwa Mzee wa Kisauti toka TOT Ebu wana JF tupeane habari eti hata ili nyumba inayosemwa lulu huku uzunguni amepewa na mzee
   
 2. stroke

  stroke JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 13,369
  Likes Received: 6,551
  Trophy Points: 280
  lULU lulu lulu
   
 3. brazilian

  brazilian JF-Expert Member

  #3
  Apr 12, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 607
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  I will be right back!!!!
   
 4. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #4
  Apr 12, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Hao ndio wanaotakiwa kukamatwa !

  Wafunguliwe mashitaka na liwe fundisho kwa wanaume wote wenye tabia kama zao.
   
 5. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #5
  Apr 12, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,079
  Trophy Points: 280
  ...kilichobaki hapa ni kutafuta nani mtunzi mzuri wa habari kuhusu Lulu.
   
 6. S

  SI unit JF-Expert Member

  #6
  Apr 12, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,938
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Kama ingekua kila uzi unaoanzishwa kuhusu mtu flan inamuongezea "cash", i hope lulu angekua milionea. Hivi ni nani aliyetuloga? Kila siku tetesi za lulu. Jf imeingiliwa na makanyab*y* au. Hebu mods unganisheni thedz zote za lulu, seva inajaa kwa up***
   
 7. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #7
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Na mie naanzisha sredi ya huu msiba very soon.
  Lazima i-hit sana hata iwe kati ya sred bora za huu msiba.

  Watch me!
   
 8. S

  SI unit JF-Expert Member

  #8
  Apr 12, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,938
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  .
  Natuma maombi kwako unipe kolabo
   
 9. Jeji

  Jeji JF-Expert Member

  #9
  Apr 12, 2012
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  anzisha mwaya maana dah! imezidi sasa.
   
Loading...