TUITOR
Member
- Aug 7, 2011
- 12
- 1
Kuna jamaa wawili, ni vibaka, sasa walimuona dada mmoja pale Mwenge ameweka pesa nyingi tu kwenye temperature yake, anasubiri daladala. Wakapanga kwenda kuzichukua, muda wote mi nawachoraa tuu, wa kwanza akamsogelea yule dada nakuanza kumpiga vibao, tena vya nguvu tu, huku akisema, " we nakuachia pesa kumbe unakuja kufanya um...ya wako tu huku, na leo umeniomba ATM kadi yangu, kumbe ndio ujinga unaokuja kufanya huku!, au hii pochi ndo inakupa kiburi?, eeeh???""" akamnyang'anya ile pochi, halaf ili kuua so vizuri, yule jamaa wa pili alikuwa akipita pita pembeni nakudokeza, " yaani nyie mambo yenu ya nyumbani mnakuja kuya anika huku kituoni?? kwendeni zenu kule"" Aaaa hii ilikuwa noma!