Elections 2010 Ee Mwenyezi Mungu, saidia CHADEMA ishinde Igunga!

The Analyst

JF-Expert Member
Feb 26, 2011
464
246
Naomba sana sana kwa Mwenyezi Mungu CHADEMA ishinde, maana hayo ndiyo matokeo yatakayoifanya serikali ya CCM ianze kuwekeza katika kuwahudumia wananchi zaidi kuliko kujitajirisha kama wanavyofanya sasa. Nasikitika kwamba mpaka sasa inaonekana mafisadi wanaendelea kutesa kutokana na mtaji wao wa kugawa fedha na baadhi yetu kuwa damudamu na kijani.
Nguvu waliyoitumia CCM katika kampeni ina dalili zote za kifisadi (yaani lazima wachukue jimbo hilo kwa gharama zozote ili kuuonesha ulimwengu kwamba pamoja na kusifika kwa ufisadi bado wanapendwa sana na wadanganyika).
Mungu Ibariki Tanzania!
Mungu Wabariki wote wenye nia ya dhati ya kuikomboa nchi yetu.
 
Too late ndg yangu magamba wameshabeba
 
Mungu anatupenda na atatuokoa ktk kujikomboa mikononi mwa magamba kwakutafutia mbadala wake
 
Mungu awasiadie hata katika mambo ambayo ninyi wenyewe mnapaswa kutumia akili zenu kuamua? Mungu tumemwaomba sana, Tubadilishe hata wimbo wa Taifa ili tusiwaombee wabarikiwe hata wale ambao wameliingiza Taifa katika wakati mgumu
 
Najua unalosema Mkuu! Mara nyingi ukiona mtu anamwomba Mungu katika swala kama hili ujue hapakuwa na ambalo angeweza kufanya. Magamba wanaelekea kushinda kwa kila hali. But that will obviously cost us a lot. Magamba wataendelea kudhania mambo wanayofanya ni sahihi na ya kawaida wakati si kweli. Utamshauri vipi JK kuacha safari na kufurahia kusifiwa na watu wa nje ya nchi wakati anacheza fyongo hapa nchini endapo ataendelea kupata wabunge na chama chake kushabikiwa huko vijijini?
Binafsi ningetamani Magamba washindwe ili waanze kufanya yaliyo ya maana kwa taifa na si kwa Marekani na mafisadi.

Back
Top Bottom