nimfuatilia taarifa ya PAC bungeni leo. waikili wa tanesco edwin ndulimi alifukuzwa licha ya utumisi wake uliotukuka kwa taifa ili. nani anajua mahali alipo? anafanya nini au wameshamumwakyembe.. kwahili tushikamane ili kama ana tatizo la kishughuli tumuwezeshe