Edward umesema umerudi nyumbani ni kweli kabisa kwani ulikokuwa ni ugenini

daianosus

Senior Member
Dec 9, 2018
193
303
Edward umesema umerudi nyumbani ni kweli kabisa kwani ulikokuwa ni ugenini. Nenda mzee wetu SIASA ZA UPINZANI NI NGUMU tulikupenda sana ila nyumbani umepapenda Zaidi. Ulipata mapokezi mazuri ugenini ukapoza maumivu uliyosababishiwa na rafiki zako wa karibu. Wamekupokea wote wakubwa isipokuwa mama SAMIA.

Unakokwenda si mgeni kwani umekulia huko hivyo figisu, matusi, fitina na kila aina ya uchafu unaufahamu vizuri sana. Kwa kukumbusha tu kidogo unakwenda kuwa pamoja na watu hawa wafuatao;

  • Mwakyembe, huyu alipata air time kubwa sana siku za mwisho za kampeni za 2015 na kusema ya ukweli naya uongo juu yako ili tu uchafuke. Sasa mnakwenda kukaa kama si meza moja basi ni nyumba moja.
  • Polepole, kijana huyu ambaye kwa viwango vyote ni mzee alikuita Malaya mchana kweupe mbele za watoto na wajukuu zako. Hajawahi kukanusha kuwa wewe siyo Malaya ndo anaenda kuwa msemaji wako.
  • Nape, aliyekuita oili chafu ambayo kikawaida inamwagwa wakati wa kufanya service.
  • Musiba ambaye kila kukicha anatapika choo cha stendi mdomoni kwake na akitakiwa kuthibitisha anakacha
  • Msukuma, aliyekuzushia umejinyea wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu ndo anakwenda kuwa rafiki yako
  • Bashite,kibajaji kwa kutaja wachache hawa ndo watakuwa marafiki zako
Nenda baba nenda ulijijengea heshima kubwa ulipokuwa nyumbani na ulipokuwa ugenini, sasa umerudi nyumbani tena sizani kama heshima yako itabaki kama ilivyo .

KWAHERI LOWASA SIASA ZA KWETU ZINAHITAJI KUJITOA KAMA MWANA WA MUNGU.
 
Poleni chadema mnahuzunika kuondoka kwa Lowassa Kama mmefiwa poleni Sana,mtukaneni matusi yote labda itawasaidia kupoza maumivu ya kuwatema ,kwa matusi hamko vibaya mmejaliwa
Edward umesema umerudi nyumbani ni kweli kabisa kwani ulikokuwa ni ugenini. Nenda mzee wetu SIASA ZA UPINZANI NI NGUMU tulikupenda sana ila nyumbani umepapenda Zaidi. Ulipata mapokezi mazuri ugenini ukapoza maumivu uliyosababishiwa na rafiki zako wa karibu. Wamekupokea wote wakubwa isipokuwa mama SAMIA.

Unakokwenda si mgeni kwani umekulia huko hivyo figisu, matusi, fitina na kila aina ya uchafu unaufahamu vizuri sana. Kwa kukumbusha tu kidogo unakwenda kuwa pamoja na watu hawa wafuatao;

  • Mwakyembe, huyu alipata air time kubwa sana siku za mwisho za kampeni za 2015 na kusema ya ukweli naya uongo juu yako ili tu uchafuke. Sasa mnakwenda kukaa kama si meza moja basi ni nyumba moja.
  • Polepole, kijana huyu ambaye kwa viwango vyote ni mzee alikuita Malaya mchana kweupe mbele za watoto na wajukuu zako. Hajawahi kukanusha kuwa wewe siyo Malaya ndo anaenda kuwa msemaji wako.
  • Nape, aliyekuita oili chafu ambayo kikawaida inamwagwa wakati wa kufanya service.
  • Musiba ambaye kila kukicha anatapika choo cha stendi mdomoni kwake na akitakiwa kuthibitisha anakacha
  • Msukuma, aliyekuzushia umejinyea wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu ndo anakwenda kuwa rafiki yako
  • Bashite,kibajaji kwa kutaja wachache hawa ndo watakuwa marafiki zako
Nenda baba nenda ulijijengea heshima kubwa ulipokuwa nyumbani na ulipokuwa ugenini, sasa umerudi nyumbani tena sizani kama heshima yako itabaki kama ilivyo .

KWAHERI LOWASA SIASA ZA KWETU ZINAHITAJI KUJITOA KAMA MWANA WA MUNGU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom