Edward Snowden: Jasusi wa Kimarekani alivyopania kumdhalilisha Obama

Snowden yuko kazini. Ametumwa na CIA anachunguza mashirika mengine ya usalama duniani. So Give and take law inahusika.

CIA wanapima info gani watoe wapate IPI inayolipa. Na lengo ni kuyapoteza direction mashirika ya ujasusi ya nchi nyingine.

Zama za kumtumia Osama zimeisha. So wamtumia snowden with different style.

Osama awe hai au amekufa inatusaidia nn?
Think trice 'in out within the box'
 
Nimesoma sana michango ya The Bold na Ontario hapa. Nawapongeza kwa michango yenu Ila inaonyesha wazi kuwa hii kwenu ni kazi na nyie ni wamoja wao!!
 
Daaaamn!Nilivyokuwa nimejiandaa kwa hii ligi ni Mungu tu anajua.
Hata hivyo naona hoja zinapishana,evidence hakuna basi vurugu tupu.

Anyways... As always,am proud of you bae

tatzo wote wawili wamebase kwenye conspirancies theories so hakuna mwenye uhakika na anachokiandika!!........

sio The bold wala sio huyo mwenzake ONTARIO .... wanachokisoma wao ni kile tu ambacho vyombo vya usalama vya marekan vimeamua kuweka public bila kujal ni habar za kwel au za kupikwa

kwaio ishu ya kuona mmoja ana taarifa sahihi kulko mwenzake kuhusu majeshi na taarifa za usalama za mataifa makubwa ya magharibi nadhan ni vichekesho tu........ zaid sana tuwapongeze kwa kujitahid kuleta vitu vipya hapa jukwaan
 
Hii kali kabisa kumbe inawezekana kabisa CIA wamemtrain kuwa aende Rusia akajifanye anakandia Marekani wakati huo anafanya udukuzi Rusia na kupeleka Marekani.Na inaelekea habari atazipata kilaini maaana wanamuamini kuwa yeye ni mtu wao sasa dah haya mambo ya uspy kiboko mtu anaweza kujifanya mpaka kichaaa mla uchafu kabisa lakini kumbe ni bonge la shushushu tena lenye mcheo mkubwa.
Ila huyu Snowden mwisho ataishia kuwa double agent labda na hata hao wanaonunua habari kutoka kwake kama Ujerumani nakadhalika sidhani kama wanamfurahia maana wanajua alishawadukua mataifa yote makubwa hivyo anawajua kama wako uchi.
Jamaaa lina miakili extra dah ila ndio atakuwa amefundishwa jinsi ya kujificha kukwepa adui anaposmell fish kwa hiyo atakuwa anaishi kwa machale balaaa.
Lakini nimegundua hizi laptop hizi hasa za mashirika ya kimataifa ambazo zinafanyiwa setup huko huko majuu wewe ukifungua tu unaanza kupiga mzigo mhhhh nazo ni mma nyingine zinatumika mno mno kupata taarifa za pahala fulani ulipo.

Mkuu hizo laptop,smartphone,saa Mpaka miwani wanaweza kujua uko wapi?
 
Mwanangu wewe huwa unaamini katika vitu direct kabisa sijui kwanini..tafuta series moja ya mtu mmoja wa kuitwa kiefer sutherland au ukipenda anaitwa jack bauer..movie inaitwa DESIGNATES SURVIVOR..ukiangalia hiyo movie kuna sehemu baada ya jamaa kuwa rais alikuwa anapata upinzani kutoka kwa senator fulani kwamba senator huyo alikuwa anadai hamtambui jamaa kama raisi..akatumwa dada fulani aende lakini kabla hajatoka airport ndege yake ikazingirwa na wanajeshi wakimtaka yule dada arudi washington kwamba senator hataki kusikia lolote kutoka D.C..raisi akaamua amwambie yule dada arudi lakini yule dada akamwambia raisi amruhusu kwamba ana plan yake inaweza ikamfanya akarudi na senator D.C....raisi akamruhusu BASI YULE DADA AKAMPIGIA SIMU JAMAA FULANI ANA ASILI KAMA YA KIARABU KWAMBA ALIANZISHE..UNAAMBIWE HAIKUPITA HATA MUDA LIKATOKEA BONGE LA KUNDI LA WATU BARABARANI WAKIANDANA KWAMBA SENATOR ANAKANDAMIZA WANANCHI...kwahiyo nachotala kukwambia hapo mkuu ni kwamba sio kwa sababu wapakistani waliandamana kupinga kwanini viongozi wao wamewaruhusu wamarekani kuingia na kumchukua osama basi ndo ina justify kwamba basi osama aliuliwa hapana..kumbuka jamaa wakitaka kutengeneza conspiracy lazima watengeneze kitu ambacho kitaonekana ni kweli katika kila nyanja na hata ikitokea ni kidogo sana ndo unaweza kupata kasoro fulani fulani ambazo kama hizi ambazo bwana ONTARIO kazisema..crime scene yeyote lazima iache maswali mzee..kwahiyo posibility ya hao wapakistani kuwa maandamano yao yalikuwa engineered kwajili ya kuja kuzika fikra kama zako ni kubwa pia mkuu..
am out

Mkuu Wacha hiyo cinema ya Sutherland.
The Bold kaandika story ya CIA huko Iran.
Hao jamaa wa nchi za Magharibi NI balaa.
Halafu ktk majukwaa humu JF tunajizarau Au utasikia "Ngozi nyeusi imelaaniwa" Sasa ngozi nyeupe wanavyo fanya wamebarikiwa ya kuuwa Na kudhulumu watu mali zao
 
Kwaivyo huyu Bwana snow ni mlemavu?

Pia naomba mods mrudishe notifications
 
Marekani mambo yao ni bonge moja la sinema. Kama walitunga kumtumia Osama kuunda kundi ka kigaidi na kisha kujifanya wako dhidi yake, wanasumbua mpaka wananchi kumtafta chini ya ardhi!! Wanalipua watu bila huruma kwa kivuli cha kusingizia ni Osama!!! Wako Serious kumtafuta utafikiri ni kweli kumbe maigizo!!! Kipi kitatufanya tuamini kuwa Snowden hajatumwa kufanya anayoyafanya?!!! Tena kwa Urusi mpinzani wao mkubwa, hofu napata kwamba kwa nini Marekani inakuwa baridi sana kumkamata?!!! Binafsi nipo njia panda, ila muda huwa ni msema kweli siku zote, ngoja upite kila kitu kitajianika chenyewe
 
Huyu jamaa kama ameweza kuisaliti nchi yake kwann warusi wanamwamini kiasi hiki nafikiri ana uhusiano zaidi ya huu na urusi
 
Swali la kufikirisha... Je US wapo tayari kuharibu uhusiano wao na mataifa makubwa ili kufanikisha spy mmoja aweze kuidukua Urusi?
Wakimaliza kazi yao wanaomba msamaha na kupatana kama kawaida yao, wakichukulia faida ya udhaifu wa mataifa juu yao ili mradi lengo lao kubwa limetimia
 
Kwa sisi waandishi wa Riwaya za haya makitu tunatizama kwa jicho la tatu huku tukichukua vichache kwa sababu ya kufanyia kazi zetu. Huwa naburudika sana kusoma Makitu haya.
 
Snowden namfuatilia saana na twitter namfuatilia daily na kwenye blog yke

Snowden anaamini kwenye privacy na NSA walikuwa wana monitor watu wote waishio USA simu zao na wa nje ya nchi,snowden jambo lile alikuwa analichukia ndio akavujisha siri kwa RAIA na alivujisha siri pia NSA walikuwa wanawa spy viongozi wakubwa wa nchi

Yaani CIA warisk uhusiano wao na Germany, France nk ili snowden wamtumie urusi??haingii akilini

Kama unamfuatilia snowden basi utajua anachopigania ni privacy kwa watu

Bila yy watu wasingejua

-Tails
-Qubes
-whoinex

Na njia zingine za kujilinda

Ndio maana wananchi wa usa wanamuona shujaa kwa kuwapa siri na namna wanavyochunguzwa

Naamini 100% snowden siyo double agent ni mpiganaji wa freedom of speech

Saizi serikali ya Obama inalaumiwa sana na mwenendo wake wa kuchunguza RAIA..ss CIA wamtumie snowden kudhoofisha na kuleta chuki baina ya serikali yake na wananchi!?

Pia snowden yupo chini ya supervision ya kgb hotelininchipy ataufanya vp?

Ni wenye akili tu wanamwelewa Snowden .
 
Back
Top Bottom