Edward Ngoyai Lowasa aka LAIGHWANAN aende IKULU au KEKO?

MAWEZI

Inaonekana unamuelewa vizuri Laighwanan ebu tiririka zaidi
 
sasa mtoa mada umetoa hoja hapo au ume chukuwa viliyo sha sema na wengine na kuviunganisha na kuongezea neno aende keko.Ulitakiwa ujue watu wana enda keko kwa njia zipi.kama wewe una ushaidi wa maovu ya lowasa una ruhusiwa kwenda kushtaki na ushaidi wako ukithibitika ndio ataenda keko ila kama una generalise kwamba ni mla rushwa mara fisadi haitoshi kumpeleka keko.kama kaiba its obvious ame ibia wana nchi ambae wewe ni mmoja wao kwa hiyo fanya kitu kimmoja anda ushaidi wa maovu ya lowasa then nenda mahakamani
 
WOMANOFSUBSTANCE

Umedai kwamba Lowasa ni mtu mmoja tu hivyo hana nguvu. Ukweli ni kwamba huyu bwana ni hatari mno kama ulivyojionea mwenyewe kwenye chaguzi za ccm ametapanya fedha zake chafu nchi nzima na kuweka watu wake kwenye jumuia zote za chama. Ebu jiulize mtu kutumia hela zote hizo mfuko wake ni mpana kiasi gani? Amezipata wapi>? Atazilipaje? Mwenzenu kapiga hesabu kagundua wacha atumie tu hizo pesa ila akikaa Magogoni na kwakua tumegundua oil and gas hela zooote zitarudi ndani ya wiki moja. Hivi kweli watanzania tumekua kenge wa kusujudia jitu jizi eti lituongoze? Kweli??? Ukosoma The Guardian la leo kuna watu wamepiga dili wakasafirisha meno ya 2.4 Bilioni. Basi kwa upumbavu wa watu humu hao wahusika mtataka waje kutuongozxa simply because wana mkwanja! NO WAY!

Ehee....
hapo kwenye bold hebu fafanua vizuri na uonyeshe wapi nimesema hayo maneno ndugu yangu.
 
TIMBILIMU
Unasema lowasa sio pure mmasai kwan mmoja wa wazazi wake ni mmeru. je mmeru ni baba au mama yake?
 
SADIKI
Umedai kua lowasa asamehewe kwakua kila binadam ni mkosefu hujui kua kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe?
 
JAPHET
Umedai kwamba hata lowasa akipelekwa keko atahonga na atakua anaishin uraiani ingawa watu watadhan anasota keko. una uhakika gani?
 
MAWENZI

Lowasa ni MMASAI au MMERU? Mbona kwenye CV ameandika yeye ni MMASAI? Kama kweli ni Mmeru lakini anadai ye MMASAI nini lengo la kufanya hivyo?

Lowasa ni Mmeru kwa damu lakini alikana kabila lake na kujifanya Mmasai kwa sababu zisizojulikana. Hii ni hatari mnapokuwa na kiongozi mwenye hadhi ya ubunge anayeweza kukana kabila. Tutajuaje kama hawezi kukana utaifa wake? Kimsingi jamaa ana sifa nyingi mbaya. Hafai hata kuwa mbunge. Nashangaa wanaompigia kampeni humu kwa ujira wa wa vijishilingi.
 
Kwanza nikurekebishe id yangu ni naninibaraka na siyo nononobaraka,la pili JF ni sehemu ambayo members hutoa maoni yao freely lkn isiwe kigezo cha kupakana matope kutokana na misukumo ya mtu,join date yako tu kama JF MEMBER ina describe the type of a person ur,la msingi jenga hoja za msingi hata aliyekutuma afurahie alichokutuma na siyo kutokwa na povu hovyo...si mtetei lowassa wala simjui lkn the whole ccm is corrupt,even aliyekutuma ni corrupt kwa taarifa,siku si nyingi utamjua aliekutuma vizur
Naona wewe ndio hujui kinachozungumziwa hapa kwani umesema humjui LOWASSA na hujui amebakiza cheo gani hapo january 2013 alichokigaramikia akikikosa ni kwaheri Keko inamsubiri
na hujui ni kwanini makamba na mangula walimsema. sio lazima uchangie km hoja huijui au EL acha wanaomjua watudadavulie hao ndio Ma Great Thinker kwani hata Pasco sasa kabadilika baada ya kuona mwanga mbele na sio CCM lakini alijua wapinzani walilipenda hilo garasa wakijua likiwekwa tu hata ukilipambanisha na jiwe JIWE litashinda (wao wapinzani wataweka King sio unang'ang'ania CCM corrupt ww mwaga thread yako mpya tutachangia usimvunje moyo mchangiaji eti kutoa maoni ni freely
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom