Edward Ngoyai Lowasa aka LAIGHWANAN aende IKULU au KEKO?

nashangaa watu wanaomtetea lowasa,wakat tume ya bunge iliyoundwa ikiongozwa na mwakyembe kuchunguza richmond,walisema lowasa anausika na richmond na ilikuwa kampun feki pia walikuwa wakijizolea million 152 kwa siku,nyie mnababaika na misaada mnayopewa makanisan na misikitin wakat hizo ni pesa zenu wanyonge ,karagabaoooooooo
 
mimi naona asiende Keko kwani waloenda keko kama Rage, Mramba bado wanatamba na mali zetu
 
DAUD MCHAMBUZ

Ama kwa hakika wewe NI MCHAMBUZI MAKINI. Du Laighwanan akaonyeshe utendaji wake uliuotukuka KEKO?
 
KAWAKAMA

Mkuu jibu swali kwa kutoa hoja . Swali rahisi tu aende keko au ikulu? Ni hilo tu kaka

Mheshimiwa Lowassa hawezi kujipeleka keko au ikulu. Kuna watu wanawajibika kumpeleka mahakamani, kama wana ushahidi wa kutosha, na mahakama ndiyo itakayomua kama aende gerezani au aendelee kuwa raia huru mwenye haki zote. ikiwemo ya kwenda ikulu

Kinachotakiwa kwa sasa ni apelekwe mahakamani na waliopewa dhamana ya kuhakikisha hilo. Vinginevyo Mheshimiwa Lowassa anabaki kuwa mtu huru na raia mwema mwenye haki zote dnani ya mipaka ya nchi hii, hata ya kuwa rais wa nchi, mpaka hapo sheria itakapothibitika vinginevyo.
 
MAWENZI

Lowasa ni MMASAI au MMERU? Mbona kwenye CV ameandika yeye ni MMASAI? Kama kweli ni Mmeru lakini anadai ye MMASAI nini lengo la kufanya hivyo?

Kawakaanga wamasai na mapesa yake mpaka wakampa ulaigwanani wakati yeye ni Mmeru wa asili, kawakaanga CCM na mapesa yake na tayari ametengeneza safu yake ya kuingia Ikulu, anajitayarisha kuwakaanga waTZ na mapesa yake ili awe no 1 wa nji hii. Looooooooo! kama uongozi huko CCM unanunuliwa kihivyo hadi kabila,pima we mwenyewe kwa mbinu hizi akiingia huku kunyumba si atatuuza wote kama alivyotununua?je atarudishaje mapesa yake?je anatufaa kwa dunia ya leo ya utandawazi?je hatakuwa dikteta mkubwa wa kulipa visasi kwa wale wanaojaribu kuweka kitumbua chake mchanga?e.t.c,e.t.c.....................................jiulize na chukua hatua,hii nchi yetu wote,siyo ya EL na watu wake tukemee rushwa kama vichaa ili tupate viongozi waadilifu wapenda haki,wakereketwa wa kweli na taifa hili.siyo wanaonunua uongozi kwani hawatakuwa na uchungu na taifa hili.
 
Aaa wapi hizo ni chuki binafsi tu kwakua kura utapiga wewe na mkeo ndo tutakapojua ila EL is our next president........!
 
nashangaa watu wanaomtetea lowasa,wakat tume ya bunge iliyoundwa ikiongozwa na mwakyembe kuchunguza richmond,walisema lowasa anausika na richmond na ilikuwa kampun feki pia walikuwa wakijizolea million 152 kwa siku,nyie mnababaika na misaada mnayopewa makanisan na misikitin wakat hizo ni pesa zenu wanyonge ,karagabaoooooooo

Lowasa sio muhusika wa hiyo richmond ndugu...kosa lake kubwa ni kukubali kupokea tu maelekezo kutoka kwa JK (Mtu yeyote anaweza fanya makosa).Richmond ni ya JK Mwenyewe,anahusika kuileta hiyo kampuni ya hovyo na kujilipa mapesa.....For Lowasa ana nafasi kubwa sana ya ku shine come to 2015...Simple...atamtaja muhusika mkuu ambaye ni JK....JK hatakua na cha ku loose coz he is the outgoing president....CCM ikirudi madarakani kupitia Lowassa watatumia mtindo wao uleule wa kulindana(Mwacheni mzee apumzike).............

Pia CCM wakizidi kumsakama Lowassa ndo wanazidi kumpandisha chati...he will be a hero....U will tell me......And of course kumbuka Chadema hawamtaji sana Lowassa coz wanajua the real richmond ni JK.....Katika List of shame Lowasa alitajwa katika wizi wa City water...Baadae alishinda ile kesi kwa hio kama kajisafisha....

Sikua namsapoti Lowassa Previously...Sasa naungana na Pasco,Lowassa ni mtu pekee mwenye nafuu kwa Ma CCM.Wengine wote wanafiki.......Kama CHADEMA hawatashinda uraisi wa nchi hii ni bora mara 7*70 rais awe Lowassa...at least tutasonga mbele.
 
Last edited by a moderator:

asante mkuu kwa kunielewesha
 
Low hasa ni mojawapo wa wanasiasa na wazee wanafiki katika nchi hii ya Tz,halafu pia ni mwongo na ana uchu na madaraka kuliko maelezo huyu ni sawa na Romney ila Romney yeye ni muungwana, kwa sasa kundi la mafia la ujambazi hapa Tz nina ongozwa la LOW HASA, kamwe ndg wa TZ MSIJE mkafanya kosa la kujutia vizazi vyote la kumpa huyu tapeli aongoze nchi, hebu jifunzeni alivyo tapanya ardhi ya wamasai wa monduli na kuwajengea chuki wamasai kwa kujiita laigwanani cheo ambacho kwa wamasai hawana au angalia manepi wanaomzunguka ambavyo ni vihiyo wote.
sio tu aende keko bali afilisiwe hadi senti ya mwisho.
kwa wale wala matapishi wake na wahuni wake hakika haki itasimama juu ya hili taifa, kamwe hata tuongoza daima.
Nafikiri jana mliona Channel ten makasuku wake wamemrusha akisema Elimu ya bure sekondari inawezekana Tz, Huyu ndie mnafiki Lowasa, si walimpinga Dr Slaa 2010? Lakini wasuburi mziki wa CDM 2015
 
EL kawa tu mmojawapo wa kafara wa ufisadi. Ukweli ni kwamba ccm haina nia ya dhati kupambana na ufisadi kwa sababu the ccm system is corrupt. Kama ukweli upo si achukuliwe hatua....
 
Wakubwa mm nadhani tatizo letu sio EL, tatizo letu ni rushwa. Kutoingia EL ikulu hakumaanishi ndio Tanzania itaneemeka hebu tujikite zaidi kwenye matatizo yanayotukabili kuliko kushughulika na personalities.
 
Mkuu, ahsante sana. Lkn EL siyo Lighwanan. yule ni Mmeru pure. Kawaokota tu wamasai. Ndiyo maana anapingwa sana na wamasai wasomi.

Mmeru pure nadhani ni yule anazaliwa baba na mama wote ni Wameru. Ama unamaanisha nini? Kama ungesema Lowassa ni chotara wa Kimasai na Kimeru ningekuelewa!
 
WOMANOFSUBSTANCE

Umedai kwamba Lowasa ni mtu mmoja tu hivyo hana nguvu. Ukweli ni kwamba huyu bwana ni hatari mno kama ulivyojionea mwenyewe kwenye chaguzi za ccm ametapanya fedha zake chafu nchi nzima na kuweka watu wake kwenye jumuia zote za chama. Ebu jiulize mtu kutumia hela zote hizo mfuko wake ni mpana kiasi gani? Amezipata wapi>? Atazilipaje? Mwenzenu kapiga hesabu kagundua wacha atumie tu hizo pesa ila akikaa Magogoni na kwakua tumegundua oil and gas hela zooote zitarudi ndani ya wiki moja. Hivi kweli watanzania tumekua kenge wa kusujudia jitu jizi eti lituongoze? Kweli??? Ukosoma The Guardian la leo kuna watu wamepiga dili wakasafirisha meno ya 2.4 Bilioni. Basi kwa upumbavu wa watu humu hao wahusika mtataka waje kutuongozxa simply because wana mkwanja! NO WAY!
 
WATOA RUSHWA HUCHAGULIWA NA WAPOKEA RUSHWA...So ukiona mtu anamtetea kwa nguvu nyingi mtoa rusha fanya hesabu 1+1=..... . Pia BIRDS WITH THE SAME FEATHER FLOCK TOGETHER
 
Mmeru pure nadhani ni yule anazaliwa baba na mama wote ni Wameru. Ama unamaanisha nini? Kama ungesema Lowassa ni chotara wa Kimasai na Kimeru ningekuelewa!

Sasa hujaanielewa kivipi?? He is pure MMERU as per your own definition!!!
 
Back
Top Bottom