Edward Moringe Sokoine awe chachu kwa viongozi wa Tanzania

Daniel Mbega

JF-Expert Member
Mar 20, 2013
338
180
sokoine_nyerere.jpg

Kumuelezea Sokoine inahitaji kurasa nyingi ili kuweka bayana wasifu wake na kazi nzuri aliyowahi kuifanya kama kiongozi. Lakini kwa ufupi tu ni kwamba, Sokoine alileta mchango mkubwa katika taifa hili ikiwemo kupigana katika mstari wa mbele kumuondoa Nduli Idi Amini.

Alikuwa muumini mkubwa wa kutunza na kutukuza utamaduni wa Mwafrika.

Kwa uzalendo mkubwa aliokuwa nao aliamini na kukiri wazi kabisa kilimo ndio uti wa mgongo na hii ilimfanya kutopenda kupanda ndege ili awe akisafiri barabarani kujionea juhudi za wananchi katika kilimo.

Kwa habari zaidi, soma hapa => Edward Moringe Sokoine awe chachu kwa viongozi wa Tanzania | Fikra Pevu
 
View attachment 342776

hebu ujulishe umma aliongoza kwa muda gani na nafasi alizowahi kushika. hapo ungewasaidia wasomaji kuelewa kwa nini unasema ''Kumuelezea Sokoine inahitaji kurasa nyingi ili kuweka bayana wasifu wake na kazi nzuri aliyowahi kuifanya kama kiongozi''
 
Back
Top Bottom