Edward Lowassa: Wanaoshindwa kuvumilia kuona wenzao wakihama vyama, wajifunike mablanketi huko waliko. Adai hahitaji ruhusa kuhama!

Waziri Mkuu Mstaafu na aliyekuwa Mgombea urais kupitia CHADEMA/UKAWA mwaka 2015, Edward Ngoyai Lowassa, akihutubia wakati wa kufunga Kampeni kwenye Kata ya Migungani, Monduli, amewaonya wanachama na Viongozi wenzake wanaotaka kumgombanisha yeye na Rais Dk. John Pombe Magufuli na kutaka wamwache Rais Magufuli afanye kazi ya kuiongoza Nchi kwa kuwa, jukumu hilo alikabidhiwa na wananchi mwaka 2015.
Kuhusu suala la kuhama Chama, Lowassa alikumbushia jinsi Raila Odinga alivyohama vyama mara Saba na bado amekuwa akidunda katika ulingo wa siasa. Aliongeza kuwa, "wanaoumia kwa kuona wenzao wakihama vyama inawabidi wawe wavumilivu na kama watashindwa kuvumilia jambo hilo ni heri wajifunike mablanketi huko waliko."

View attachment 834349
Hivi watu hata Kiswahili kimetushinda au ni ujinga na uoga tu,mtu aliyejiuzuru mwenyewe sio mstaafu,kuna tofauti kati ya kujiuzuru na kustaafu,sijuikwa nini Edward hataki kuitwa aliyejiuzuru,kujiuzuru kuna maana nyingi tofauti na kustaafu,naona mheshimiwa hataki kuitwa aliyejiuzuru,kwanini ujiuzuru kuna mawili ama hukubaliani na yale yanayofanyika na kuonyesha kuyapinga unaachia ngazi au wakati mwingine kutokana na uchafu unaambiwa ama utimuliwe au mwenyewe kwa hiari yako useme unaondoka,mara nyingi kujiuzuru huandamana na taswira isiyo nzuri nina hakika mheshimiwa sana anajua ubaya wa kuitwa akliyejiuzuru ndio maana hujiita aliyestaafu,Edward hawahikustaafu akiwa na cheo cha Waziri Mkuu.
 
Hilo nalo neno mdau.
 
Mnoooooooooo!
Kupita maelezo. Ngoja niwatafute wazee wenzangu imhotep na ISIS wanisaidie kuweka vile vikaragosi vya jamaa wakishangilia kwa furaha ya hali ya juu.
Ha ha daudi bashite ugali na maziwa ya toto chula what can you do zaidi ya kushangilia kichwani zero siada za ushawishi huna wewe lazima uzabe wazee uuwe watu ndio ubaki relevant yupi kikaragosi
 
Waziri Mkuu Mstaafu na aliyekuwa Mgombea urais kupitia CHADEMA/UKAWA mwaka 2015, Edward Ngoyai Lowassa, akihutubia wakati wa kufunga Kampeni kwenye Kata ya Migungani, Monduli, amewaonya wanachama na Viongozi wenzake wanaotaka kumgombanisha yeye na Rais Dk. John Pombe Magufuli na kutaka wamwache Rais Magufuli afanye kazi ya kuiongoza Nchi kwa kuwa, jukumu hilo alikabidhiwa na wananchi mwaka 2015.
Kuhusu suala la kuhama Chama, Lowassa alikumbushia jinsi Raila Odinga alivyohama vyama mara Saba na bado amekuwa akidunda katika ulingo wa siasa. Aliongeza kuwa, "wanaoumia kwa kuona wenzao wakihama vyama inawabidi wawe wavumilivu na kama watashindwa kuvumilia jambo hilo ni heri wajifunike mablanketi huko waliko."

View attachment 834349
:cool::cool::cool::cool::cool: seriously. ....oh Never mind!!!!
 
Kashaanza kupalilia njia huyu.

Haya kwenda mwana kwenda
Naongea kama alivyoongea Yohana toka Kisiwan Patmo; mzee yupo njiani na tazama kuna watu wake wameenda kumwandalia makao. Siku si siku mzee ataonekana akiomba suluhu yaishe na atakubali kuwa mkatwa mkia. Yajayo yanasikitisha
 
Ha ha daudi bashite ugali na maziwa ya toto chula what can you do zaidi ya kushangilia kichwani zero siada za ushawishi huna wewe lazima uzabe wazee uuwe watu ndio ubaki relevant yupi kikaragosi
Tafuta blanketi huko ulipo.
 
Waziri Mkuu Mstaafu na aliyekuwa Mgombea urais kupitia CHADEMA/UKAWA mwaka 2015, Edward Ngoyai Lowassa, akihutubia wakati wa kufunga Kampeni kwenye Kata ya Migungani, Monduli, amewaonya wanachama na Viongozi wenzake wanaotaka kumgombanisha yeye na Rais Dk. John Pombe Magufuli na kutaka wamwache Rais Magufuli afanye kazi ya kuiongoza Nchi kwa kuwa, jukumu hilo alikabidhiwa na wananchi mwaka 2015.
Kuhusu suala la kuhama Chama, Lowassa alikumbushia jinsi Raila Odinga alivyohama vyama mara Saba na bado amekuwa akidunda katika ulingo wa siasa. Aliongeza kuwa, "wanaoumia kwa kuona wenzao wakihama vyama inawabidi wawe wavumilivu na kama watashindwa kuvumilia jambo hilo ni heri wajifunike mablanketi huko waliko."

View attachment 834349
Hatimaye yametimia. Lowassa aliwapa Chadema makavu live: Wanaoshindwa kuvumilia kuona wenzao wakihama wajifunike .....

Sijui Leo wamejifunika nini?
 
President Magufuli is immensely faulting all who once considered him a weak politician.
Probably he is among the best strategist statesman ever.
Viva Magufuli and your Magufulication.

If you can't defeat them then join them, simple tu yaani.
 
Back
Top Bottom