Edward Lowassa: Wako waliosema nitakufa lakini mpangaji wa yote ni Mungu

Status
Not open for further replies.

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,898
"Bila Ujasiri na Umoja wa Dhati hawa jamaa lazma wataendelea kutupiku lakini niwashukuru vile vile kwa kukubali kubeba lawama juu yangu wako waliosema huyu ni mgonjwa na atakufa bado mlinipigia kura nyingi ila Mungu ndiye hupanga yote"
IMG-20161126-WA0055.jpg

Edward Lowassa - Mbinga
 
Kumbe yamekuingia

Ndiyo yameniingia kwa sababu nategemea zaidi kutoka kwa Kiongozi wa Kisiasa zaidi ya kupiga ramli hapa, kwani kuna tofauti gani fisadi Lowasa asipokufa leo? Si ni swala la muda tu kabla na yeye au Binadamu mwingine yoyote yule hajafa, sasa kwa nini hata anaongelea jambo la kijinga namna hiyo?

Tunataka kusikia chadema kama Chama cha Siasa wana ajenda gani kwenda mbele na siyo kuongelea vifo.
 
Ndiyo yameniingia kwa sababu nategemea zaidi kutoka kwa Kiongozi wa Kisiasa zaidi ya kupiga ramli hapa, kwani kuna tofauti gani fisadi Lowasa asipokufa leo? Si ni swala la muda tu kabla na yeye au Binadamu mwingine yoyote yule hajafa, sasa kwa nini hata anaongelea jambo la kijinga namna hiyo?

Tunataka kusikia chadema kama Chama cha Siasa wana ajenda gani kwenda mbele na siyo kuongelea vifo, huyu jamaa ni idiot!
Je maono mbona yaliwawewesesha
 
Ndiyo yameniingia kwa sababu nategemea zaidi kutoka kwa Kiongozi wa Kisiasa zaidi ya kupiga ramli hapa, kwani kuna tofauti gani fisadi Lowasa asipokufa leo? Si ni swala la muda tu kabla na yeye au Binadamu mwingine yoyote yule hajafa, sasa kwa nini hata anaongelea jambo la kijinga namna hiyo?

Tunataka kusikia chadema kama Chama cha Siasa wana ajenda gani kwenda mbele na siyo kuongelea vifo!
Nadhani sasa mshanyooka na midomo yenu,wale waropokaji cku hizi wapo kimya
 
Ndiyo yameniingia kwa sababu nategemea zaidi kutoka kwa Kiongozi wa Kisiasa zaidi ya kupiga ramli hapa, kwani kuna tofauti gani fisadi Lowasa asipokufa leo? Si ni swala la muda tu kabla na yeye au Binadamu mwingine yoyote yule hajafa, sasa kwa nini hata anaongelea jambo la kijinga namna hiyo?

Tunataka kusikia chadema kama Chama cha Siasa wana ajenda gani kwenda mbele na siyo kuongelea vifo,
Nimekusikitikia sana hivi nikuulize tu unajua lengo.la wewe kua hapa duniani kama hata huez kung'amua ujumbe wa mtu anachoongea
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom