Edward Lowassa: Vijana wanaichukia CCM

Waacheni watu waongee. Tafakari kwa makini na uchukue hatua. Hii haijalishi kariba ya aliyezungumza. Work on it.
 
chanzo GWIJI LA HABARI TANZANIA,HABARI LEO,KWA MALA YA KWANZA WAANDIKA HABARI YENYE MLENGO WA KUSHOTO

MAPINDUZIIIIIII DAIMAAAAAA
wenzio wajanja wamekwisha kwenda upande wao wa kupiga debe la uraisi
 
Wana JF,

Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa ameweka wazi kuwa vijana wengi ktk hii nchi wanaichukia CCM kwa sababu ya Ukosefu wa ajira. Katika hili la ajira mzee Lowassa amejaribu kutoa utofauti uliopo kati ya watoto wa wakulima na wanao jiita watoto wa wakubwa amesema watoto hao wa wakubwa wamepata kazi sehemu nzuri. Wamepata kazi TRA au BoT na ndani ya miezi sita utamwona anaendesha gari zuri na ana nyumba yake ya kifahari.

Wakati huo mtoto wa mkulima au yule ambaye amezaliwa katika familia ambayo sio bora, pamoja na kisomo chake ataendelea kusaga lami hadi kiatu alichotoka nacho chuoni kinakuwa upande.

Hivyo WAZIRI MKUU PINDA ameombwa alitafutie ufumbuzi suala hilo.

HAYA VIJANA WA JF KAZI HIZO ZINAKUJA NI NYIE KUWA AGRESSIVE JUU YA HILO DONT HESITATE TO MAKE APPLICATION IF IT IS OUT

MAPINDUZIIIII DAIMAAAAAA

Hii habari ni kweli. Alishawahi(EL) kutamka hiyo kauli.

Tatizo la mtoa mada ana mamatizo.

Kumuita Lowasa Waziri Mkuu mstaafu ni upumbavu.
 
KWANZA YEYE kawajaza wakwe zake, na wale walioa nyumba moja, (Jina kapuni Maana lafikiyangu) hivyo anatudanganya wadanganyika
 
Asitudanganye huyo; akizungumzia mabadiliko ya katiba ndio vijana tutaweza kumuelewa; hiyo danganya toto ya ajira asilete hapa!!!!!!!!!!! Ajira bila mabadiliko ya katiba ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu!!!!!!!!!!!!!!!!vijana tumesoma asitubabaishe kwa uongo wake wa kutafuta njia ya kwenda ikulu 2015!!!!!!!!!!anadhani hatujui janja yake!!!!!!!!!!!!!!!!!!!vijana tunataka mabadiliko ya katiba!!!!!!!
 
If he is the one who has uttered these words, I say He is a damn Hypocrite. He got the chance but he enriched himself instead of working for poor majority
 
Wana JF,

Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa ameweka wazi kuwa vijana wengi ktk hii nchi wanaichukia CCM kwa sababu ya Ukosefu wa ajira. Katika hili la ajira mzee Lowassa amejaribu kutoa utofauti uliopo kati ya watoto wa wakulima na wanao jiita watoto wa wakubwa amesema watoto hao wa wakubwa wamepata kazi sehemu nzuri. Wamepata kazi TRA au BoT na ndani ya miezi sita utamwona anaendesha gari zuri na ana nyumba yake ya kifahari.

Wakati huo mtoto wa mkulima au yule ambaye amezaliwa katika familia ambayo sio bora, pamoja na kisomo chake ataendelea kusaga lami hadi kiatu alichotoka nacho chuoni kinakuwa upande.

Hivyo WAZIRI MKUU PINDA ameombwa alitafutie ufumbuzi suala hilo.

HAYA VIJANA WA JF KAZI HIZO ZINAKUJA NI NYIE KUWA AGRESSIVE JUU YA HILO DONT HESITATE TO MAKE APPLICATION IF IT IS OUT

MAPINDUZIIIII DAIMAAAAAA


Hivi huko TRA na BOT wanalipwa kiasi gani mpaka waweze kununua magari ya kifahali. Kama kununua magari tu it's fine lakini ya kifahali naona NO unless wanasource nyingine za kupata hela. Kama anajua yote hayo then atueleze wapi watoto hao wa vigogo wanatoa pesa za kununulia magari ya kifahali maana kwa mshahara tu haiwezekani.
 
Hivyo WAZIRI MKUU PINDA ameombwa alitafutie ufumbuzi suala hilo.

Hizo kazi Pinda atazitoa mfukoni mwake......kama uchumi ni hamishaji kazi ya akina vijisenti hivi soko la ajira litakuwa au litasinyaa...................
 
Leo ndio analiona hilo Haki ya Mungu mfa maji haachi kutapata. Maneno yake hayana msingi kaiba na kawajibishwa hatumtaki akae pembeni na hana uzalendo na nchi hii. Akawadanganye vijana wa Monduli amabao ndio wanaweza kumsikiliza sio sisi.
 
Re: Edward Lowassa: Vijana wanaichukia CCM

. Lowasa amesema kile kilicho moyoni mwake,lakini je ana dhamira ya kutenda aliyoongea?
Tuache kumuandama lowasa kwa kuali yake hiyo? Na baadala yake tuangalie kama kuna ukweli wa kauli yake na kama upo je njia sahihi ya kupambana na halia hiyo ni ipi?
Off topic:
hivi lowasa kabla ya kashfa ya richmond, alikuwa mtu wa namna gani?

  • alinunua Majumba ya Msajili Dar na AR
  • Kifimbo alimwambia hafai kugombea Urais kwa kujilimbikizia mali
  • alisimamia ukodishwaji wa jengo la makao Makuu ya UVCCM kwa muda wa miaka zaidi ya 100 hadi Uongozi wa kina Mnauye na Nchimbi ukasambaratika
  • wakati wa Kampeni amewakopesha vijana wa kimasai mikopo ya SACCOS
    • kwa hiyo vijana wa leo wana haki ya kutafuta ukweli wahujumu uchumi ni kina nani na kwa nini wanang'ang'ania madaraka miaka 40 sasa na kuwaweka watoto wao
 
ashakumu si matusi! mtu mzima hovyooooooooooooooooooooooooooooooooooooo!!!
 
teh teh teh... nice try..jaribu tena 2020, ila mwaka huu thidanganyiki cozi LOwasa ni fisadi wala hana huruma na maisha ya vijana..... bwana lowasa nice try, ila hujanipata
 
Lowasa anataka uwaziri wa Vijana, Ajira na Maendeleo. Tusubiri tuone!
anawinda urais 2015, aje tuta mkomesha na kiboko sabuni bora za kufulia. kafulia huyooooooooo! yeye alikuwa PM juzi tu alifanya nini zaidi ya kuiba?
 
Wana JF,

Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa ameweka wazi kuwa vijana wengi ktk hii nchi wanaichukia CCM kwa sababu ya Ukosefu wa ajira. Katika hili la ajira mzee Lowassa amejaribu kutoa utofauti uliopo kati ya watoto wa wakulima na wanao jiita watoto wa wakubwa amesema watoto hao wa wakubwa wamepata kazi sehemu nzuri. Wamepata kazi TRA au BoT na ndani ya miezi sita utamwona anaendesha gari zuri na ana nyumba yake ya kifahari
.
Sasa huyu du? Ukiikosa busara bwana. Yeye amewaona hao walioajiriwa huko alikosema, labda kama wamebebwa hawana sifa. Sasa mbona huwataji walio ajiriwa kwenye makampuni ambayo baba zao na mama zao wamewaibia wananchi. Toa kwanza boriti.... Ndio.... MUNGU akamwambia mpumbavu wewe usiku wa leo hiyo roho yako nnaihitaji hizo mali...... kama wewe ni mgalatia Malizi
 
Mzee wa nywere nyeupe bana, mbona yeye kaajiri Dr wa Mifugo yake mzungu? inamaana wale wetu was SUA vipi?
 
teh teh teh... nice try..jaribu tena 2020, ila mwaka huu thidanganyiki cozi LOwasa ni fisadi wala hana huruma na maisha ya vijana..... bwana lowasa nice try, ila hujanipata

Na kweli atawapata wajinga wale walizoe kuwapata siku zote si wewe. Kwa taarifa yao wajinga wanapungua. Wanawakusanya kwenye mikutanano yao ya kampeni kwa kuwatumia the komedi. Kwenye kura wamempigia mwingine ikabidi wa chakachue. Ole wao sikuza zao hesabika, hasa pale wanaowasidai kuchakachua tutakapo waelimisha wote wakaelewa. Maana baadhi wameanzakuelewa nadhani tatizo ni wakubwa wa. Sina tatizo na hawa wadogo ilawa kubwa zao wakiitwa pale Bungeni wakasifiwa basi vichwa vinakuwa vikubwa na tena wakiokota makombo yanayoanguka kwenye meza za hawa waheshimiwa ndio kabisa wanakuwa vipofu wanawasahau ndugu zao wanao hangaika huku mitaani.
 
Yeye mcheza senema za Bongo movie huyo simuoni wala smsikiii akila migahawani au akipanda Daladala hahah Lo mimvi shame on yu
 
Back
Top Bottom