Edward Lowassa na mvua toka Thailand | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Edward Lowassa na mvua toka Thailand

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Shine, Feb 10, 2012.

 1. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #1
  Feb 10, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  Hii katuni inahoji ahadi za hawa jamaa au inakua je jama?
   

  Attached Files:

 2. King2

  King2 JF-Expert Member

  #2
  Feb 10, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,289
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ha ha.
   
 3. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #3
  Feb 10, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha ha!sio huyu bana,ni yule mwenzake
   
 4. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #4
  Feb 13, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mwenzake si alisema hawezi kujibadili kuwa mvua ili akajashe mabwawa yajae?
   
 5. k

  kwitega Senior Member

  #5
  Sep 24, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakuu,

  Kati ya mambo yanayoumiza vichwa vya baadhi yetu ni ukame wa mara kwa mara unaoliathiri taifa hususani kwa kupungukiwa chakula na mabwawa kuishiwa maji hivyo kuathiri upatikanaji wa nishati ya umeme wa kutosha. Hivi kwa pamoja vinaathiri uchumi wetu kwa kiwango kikubwa.

  Nakumbuka mara baada ya serikali ya awamu ya nne kuingia madarakani, aliyekuwa waziri Mkuu wakati huo Edward Lowassa alienda Thailand na kufanya mazungumzo na mfalme wa nchi hiyo juu ya Teknolojia ya mvua ya kutengeneza ambayo ilielezwa kuwa ingesaidia kukabiliana na hali ya ukame nchini.

  Cha kushangaza na kusikitisha; mara baada ya Lowassa kujiuzuru, mpango huo ulisitishwa huku shilingi bilioni 1.5 zikiwa zimeshatumika. Sasa tujadiri yafuatayo;
  1. Je mpango huo ulikuwa umeshajadiriwa na Bunge na kukubaliwa baada ya kuonekana una maslahi kwa taifa?
  2 Je, kama mpango huo ulikuwa na maslahi kwa taifa; kwa nini haukuendelezwa mara baada ya mwasisi wake kujiuzuru kwa kashfa ya Richmond?
  3.Je, mpango huo ni ubunifu pekee wa Lowassa ikiwa ni moja ya maamuzi magumu?
  4. Kitendo cha serikali kutoendelea na mpango huo chaweza kutafsriwa kuwa ilikuwa Richmond nyingine au ni wivu wa kisiasa na ubinafsi?
   
 6. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #6
  Sep 24, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Siyo hiyo tu, hata yule rafiki yake waziri mkuu wa Thailand alipinduliwa kabla ya mipango kuiva. Lakini bilioni 1.5 ilikwishatafunwa. Cheza na bongo weye?
   
 7. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #7
  Sep 24, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,651
  Trophy Points: 280
  Labda kama ulitaka nchi itekeleze ujinga.....yaani ni sawa na mtu kwenda kuomba teknolojia ya kutengeneza helikopta kama njia ya kupunguza foleni Dar es salaam!!! Tunahitaji kutumia helikopta ili kukwepa foleni za magari jijini?!
   
 8. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #8
  Sep 24, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,651
  Trophy Points: 280
  Au ndo ile El nino ya mwaka jana 2011 hapa dar ndo matunda ya hiyo tekenelojia?!
   
 9. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #9
  Sep 25, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,651
  Trophy Points: 280
  Hii nchi imejaa wendawazimu utafikiri tumelaaniwa....am certain kwamba Africa Is A Cursed Block! Nakumbuka wapo wendawazimu ambao walishauri kwamba ili kuondoa tatizo la maji jijini basi ifanyike Ocean Water Distillation!
   
 10. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #10
  Sep 25, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,351
  Trophy Points: 280
  kama vile anachuku kwa petty cash account.
   
 11. s

  surambaya Senior Member

  #11
  Sep 25, 2012
  Joined: Aug 30, 2012
  Messages: 103
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Mzee wa madili yuko kati tena? Unafikiri kilichofuata hapo nin?I love Tz, wanasekana
   
 12. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #12
  Sep 25, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145

  Lini Umeona VIONGOZI wa CCM ya Decade hii Ziara zao zote za NJE zinalete MAFANIKIO yoyote zaidi ya

  Wao kwenda NJE kusafisha Macho yao; Shopping na Kuficha FEDHA zaidi ya hayo hakuna...

  Umeona Mawaziri wanatembelea Maonyesho ya NDEGE MPYA za ABIRIA lakini wanakwenda

  Kununua Ndege third hand LEBANON; Zikifanya safari MBILI VIOO VINAPASUKA Vyenyewe

  Sababu wamesaini Mkataba bado Wanawalipa Wenye NDEGE; WIZI MTUPU...

  Leo UNAULIZIA KUHUSU MVUA za THAILAND...
   
 13. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #13
  Sep 25, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,905
  Likes Received: 2,334
  Trophy Points: 280
  Mkuu inaelekea wewe ni mmoja wa wale watu mnoamini katika "miujiza" hata kama mtaambiwa mambo hayo ni usanii.
  Teknolojia ya mvua ya Thailand ni usanii pamoja na kutumika Tshs bilioni 1.5 ambazo naamini zilitumika kifisadi.
  Mvua kama hizo ni only temporary measure ambayo hutumika kuondoa mawingu siku za sherehe.
   
 14. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #14
  Sep 25, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,905
  Likes Received: 2,334
  Trophy Points: 280
  Mbona technological base yako ni ndogo mazee!
  Sea water distillation inafanyika sana, tena sana uarabuni, kwa process inaitwa Reverse Osmossis.
  Mimi mwenyewe nimeiona Dubai.
   
 15. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #15
  Sep 25, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,651
  Trophy Points: 280
  Sijasema haiwezekani, la hasha sio base yangu! Hoja yangu ni kwamba nchi kama Tanzania ina sababu ya kufanya sea water distillation wakati tuna vyanzo vya kutosha vya maji?! Hiyo ndo base....! Hao Bara Arabu wana kila sababu za kufanya hivyo coz' nchi zenyewe ni jangwa na hawana alternative means! Je, Tanzania hatuna njia mbadala ambazo ni more cheap kuliko hiyo Reverse Osmossis?! Base hapo mkuu wangu!
   
 16. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #16
  Sep 25, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  zilitumika bil 1.5, guys siamini, kufanyia nini, eti kwenda kuulizia mvua za kutengeneza? ziliidhinishwa na nani, na kutoka fungu lipi? No jamani, halafu huyu ndio anapigiwa debe kuwa rais, nahama nchi, maana nitaua mtu kwa hasira, au alizitumia kulipa vijana wake anaowaandaa wamuunge mkono kwenye urais.
   
 17. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #17
  Sep 25, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,276
  Likes Received: 19,423
  Trophy Points: 280
  ulaji ule ulikuwa, lowasa alikuwa anakusanya pesa ya 2015
   
 18. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #18
  Sep 25, 2012
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,801
  Likes Received: 2,572
  Trophy Points: 280
  Alternative to reverse osmosis is dual power plant where excess heat from power plant is used to desalinate sea water.(typically turbines have energy efficiency of 33% rest is wasted as heat energy). Hii ni sawa na kupiga ndege wawili na jiwe moja, unazalisha umeme na maji safi kwa mpigo.
   
 19. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #19
  Sep 25, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo inawezekana hata kusafisha maji ya bahari mkuu??
   
 20. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #20
  Sep 25, 2012
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,801
  Likes Received: 2,572
  Trophy Points: 280
  inawezekana sana, mitambo hii inatumika sehemu nyingi duniani mfano Saudi Arabia. Mitambo hii inafaa kwa Dar kwa sababu bahari ipo jirani na tunazalisha thermal power kutoka gas asilia. Tatizo tumezoea "cutting corners" bila kuzingatia best practices.
   
Loading...