Edward Lowassa na Kampeni za CCM

Mchaga

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
1,378
204
Wakuu naomba kuuliza swali hivi Edo mbona haonekani katika majukwaa ya CCM akimkapenia JK, na si yeye tu kwani hata wanamtandao wengine kama vile Sitta na wengineo naona wako kimya sana, KULIKONI?
 
Nimesikia kuna mipango ya kuwaita marais wastaafu Mkapa na Mzee Mwinyi kujaribu kuokoa jahazi kwani maji yamefika shingoni
 
Wote hao hawatasaidia kitu. Mwinyi bado anaheshimika na Mkapa atazomewa.
 
Mabomu ya slaa yatateguka ktk awamu ya pili.
waache waje tu watayakanyaga na kuyategua
 
Wakuu naomba kuuliza swali hivi Edo mbona haonekani katika majukwaa ya CCM akimkapenia JK, na si yeye tu kwani hata wanamtandao wengine kama vile Sitta na wengineo naona wako kimya sana, KULIKONI?

unataka waache majimbo yao wakampigie kampeni jk kwenye jimbo lake?
 
Wakuu naomba kuuliza swali hivi Edo mbona haonekani katika majukwaa ya CCM akimkapenia JK, na si yeye tu kwani hata wanamtandao wengine kama vile Sitta na wengineo naona wako kimya sana, KULIKONI?

Edo hana ubavu wa kusimama jukwaani kuwaambia lolote watanzania: Aishie kuwadanganya watu wa Monduli tu. Anajua fika kuwa watu wana uchungu sana na ufisadi wake na rafiki yake Rostam Azizi. Hata dhamira yake inamshitaki. Ni kikwete tu aliyethubutu kusema "Lowasa ni msafi na alisingiziwa" lakini najua hata yeye (Kikwete) hivi sasa anatembea huku dhamira yake ikimhukumu na huenda ndo maana anazidi kukonda tu kwa kukosa amani moyoni mwake kwa unafiki huo.
 
Back
Top Bottom