Edward Lowassa na Fredrick Sumaye Washiriki Uwanzishwaji wa Dayosisi ya Mwanga KKKT

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
Mawaziri wa kuu wastaafu na wajumbe wa kamati kuu Y CHADEMA ndugu EDWARD LOWASA na FREDRICK SUMAYE siku ya leo tar 06/1112016 walipata wasaa mzuri wa kushirika katika uzinduzi wa dayosisi mpiya ya KKKT jimbo la Mwanga.

Katika uzinduzi huo ambao raisi wa Jamuhuri ya muungano ndio slikua mgeni rasim lakin alituma mwakilishi ambaye ni mkuu wa mkoa wa kilimanjaro Bwana Meck Sadick,viongozi hawa walipokelewa kwa bashasha na nderemo huku wakiwapongeza wakazi wa Mwanga kwa kupata dayosisi ambayo waliitafta kwa miaka mingi.
 
Attachments

  • IMG-20161106-WA0111.jpg
    IMG-20161106-WA0111.jpg
    70.7 KB · Views: 155
  • IMG-20161106-WA0106.jpg
    IMG-20161106-WA0106.jpg
    50.4 KB · Views: 210
Mawaziri wa kuu wastaafu na wajumbe wa kamati kuu Y CHADEMA ndugu EDWARD LOWASA na FREDRICK SUMAYE siku ya leo tar 06/1112016 walipata wasaa mzuri wa kushirika katika uzinduzi wa dayosisi mpiya ya KKKT jimbo la Mwanga.

Katika uzinduzi huo ambao raisi wa Jamuhuri ya muungano ndio slikua mgeni rasim lakin alituma mwakilishi ambaye ni mkuu wa mkoa wa kilimanjaro Bwana Meck Sadick,viongozi hawa walipokelewa kwa bashasha na nderemo huku wakiwapongeza wakazi wa Mwanga kwa kupata dayosisi ambayo waliitafta kwa miaka mingi.
Hiyo dayosisi ilipatikana kwa vita sio kwa amani ni zao LA damu lowasa na sumaye kushabikiwa sidhani kama ni jambo zuri sana inaonyesha walihusika kwa namna moja au nyingine kujitenga kwao kivita
 
Fikra za watu potofu huwa na mawazo potovu sana
 
Mzee wetu meck sadick tunakukubali sana, hubaguagi kwa vyama wote wako tu, angalia tu mkulu asije kukutoa huku kwetu manake yeye anataka watu kama clueless kama Gambo. Wewe ni mfano wa kuigwa, akina makonda na uyu Gambo wanatakiwa wajifunze kutoka kwako jinsi ya kuishi na viongozi waliochaguliwa na wananchi katika maeneo yao sio kujifanya wao wako juu ya waliochaguliwa.
 
Amen
 
Fikra za watu potofu huwa na mawazo potovu sana
Ilipatikana kwa vurugu na vita lowasa na sumaye kuwapongeza kwa kupigania kivita kuipata si sawa dayosisi kikawaida viongozi wa dini ndio huangalia na kugawa au kuanzisha mpya.lowasa na sumaye kuwapongeza watu wa mwanga kwa njia hiyo ya kivita waliyotumia si sahihi ni kuhamasisha vurugu Ndani ya KKKT ni kama kuhamasisha wengine kuwa mkitaka dayosisi yenu tumieni vurugu na vita kama wenzenu wa mwanga.
 
Kibali cha polisi leo hakuna..?

Au alipewa ruhusa mapema..?

Ha ha haaaaaa..
 
Ilipatikana kwa vurugu na vita lowasa na sumaye kuwapongeza kwa kupigania kivita kuipata si sawa dayosisi kikawaida viongozi wa dini ndio huangalia na kugawa au kuanzisha mpya.lowasa na sumaye kuwapongeza watu wa mwanga kwa njia hiyo ya kivita waliyotumia si sahihi ni kuhamasisha vurugu Ndani ya KKKT ni kama kuhamasisha wengine kuwa mkitaka dayosisi yenu tumieni vurugu na vita kama wenzenu wa mwanga.

wewe unabwabwaja tu na hujui ulisemalo, nan kakwambia dayosis ya MWANGA imepatikana kwa vita, na sio kila kitu kilichoanza na vurugu humalizka kwa vurugu, dayosis ya mwanga imepitikana kwa njia ya amani kabsa, baada ya mchakato mwanzo ambao ulianza kwa kuvurugu kuisha na watu wakapatana na wakakubaliana kwa amani kabsa, akiwemo baba wa mwanga ndg cleopa msuya. so watch out your keyboard. apart from lowasa na sumaye wengine ni wazir wa maliasil na mbunge wa MWANGA, mh Angela kairuki, ndg cleopa msuya.
 
Mawaziri wa kuu wastaafu na wajumbe wa kamati kuu Y CHADEMA ndugu EDWARD LOWASA na FREDRICK SUMAYE siku ya leo tar 06/1112016 walipata wasaa mzuri wa kushirika katika uzinduzi wa dayosisi mpiya ya KKKT jimbo la Mwanga.

Katika uzinduzi huo ambao raisi wa Jamuhuri ya muungano ndio slikua mgeni rasim lakin alituma mwakilishi ambaye ni mkuu wa mkoa wa kilimanjaro Bwana Meck Sadick,viongozi hawa walipokelewa kwa bashasha na nderemo huku wakiwapongeza wakazi wa Mwanga kwa kupata dayosisi ambayo waliitafta kwa miaka mingi.

ndg na wewe ulikuwepo kwenye tukio????
 
Ilipatikana kwa vurugu na vita lowasa na sumaye kuwapongeza kwa kupigania kivita kuipata si sawa dayosisi kikawaida viongozi wa dini ndio huangalia na kugawa au kuanzisha mpya.lowasa na sumaye kuwapongeza watu wa mwanga kwa njia hiyo ya kivita waliyotumia si sahihi ni kuhamasisha vurugu Ndani ya KKKT ni kama kuhamasisha wengine kuwa mkitaka dayosisi yenu tumieni vurugu na vita kama wenzenu wa mwanga.
Pale uliposema wao ndio wanausika ndio umeonuesha ujinga wako
 
Back
Top Bottom