Edward Lowassa: CUf Niwenzetu kwenye Shida na Raha


Mwanahabari Huru

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Messages
14,031
Likes
31,831
Points
280
Mwanahabari Huru

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2015
14,031 31,831 280
CUF ni wenzetu katika UKAWA
Shida zao ni shida zetu, vita vyao ni vita vyetu,
kushindwa kwao ni kushindwa Kwetu, ushindi wao ni ushindi wetu.
 
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Messages
58,070
Likes
55,416
Points
280
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2012
58,070 55,416 280
CUF ni wenzetu katika UKAWA
Shida zao ni shida zetu, vita vyao ni vita vyetu,
kushindwa kwao ni kushindwa Kwetu, ushindi wao ni ushindi wetu.
Maneno kuntu sana !
 
B

Babati

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2014
Messages
31,760
Likes
25,214
Points
280
Age
33
B

Babati

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2014
31,760 25,214 280
Huyu mzee itakuwa aliambiwa achague kati ya utajiri na hekima yeye alichagua hekima na busara ndiyo maana Mungu akampa na utajiri.
 
MKWEPA KODI

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2015
Messages
24,271
Likes
55,223
Points
280
MKWEPA KODI

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2015
24,271 55,223 280
Propesa lipumba kajimaliza kabisa kisiasa, amekuwa kama zuzu
 
B

Babati

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2014
Messages
31,760
Likes
25,214
Points
280
Age
33
B

Babati

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2014
31,760 25,214 280
Naomba Mungu anipe hata nusu ya busara na hekima ya huyu mzee.
 
CHARMILTON

CHARMILTON

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Messages
6,306
Likes
9,075
Points
280
CHARMILTON

CHARMILTON

JF-Expert Member
Joined May 30, 2015
6,306 9,075 280
Kauli za mtu ndizo zinazomfanya mtu awe Charismatic leader,....Lowasa is one of them.
 
Chakaza

Chakaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2007
Messages
28,476
Likes
34,243
Points
280
Chakaza

Chakaza

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2007
28,476 34,243 280
Huyu mzee itakuwa aliambiwa achague kati ya utajiri na hekima yeye alichagua hekima na busara ndiyo maana Mungu akampa na utajiri.
Kuna walioomba nguvu wakawezeshwa. We huoni ajabu mtu ana miaka 58 anapiga up down up down hata Fransis Cheka mwenyewe hoi!
 
B

Babati

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2014
Messages
31,760
Likes
25,214
Points
280
Age
33
B

Babati

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2014
31,760 25,214 280
Kuna walioomba nguvu wakawezeshwa. We huoni ajabu mtu ana miaka 58 anapiga up down up down hata Fransis Cheka mwenyewe hoi!
Pamoja comrade
 
B

Babati

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2014
Messages
31,760
Likes
25,214
Points
280
Age
33
B

Babati

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2014
31,760 25,214 280
Kama kusudi ni la Mungu atafanikiwa na kama siyo la Mungu hatafanikiwa.
 
Chakaza

Chakaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2007
Messages
28,476
Likes
34,243
Points
280
Chakaza

Chakaza

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2007
28,476 34,243 280
Kama kusudi ni la Mungu atafanikiwa na kama siyo la Mungu hatafanikiwa.
Kusudio la Mungu huwa linaonekana maana halitumii nguvu, vitisho wala hila zozote. Ni full shangwe na furaha!
 
B

Babati

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2014
Messages
31,760
Likes
25,214
Points
280
Age
33
B

Babati

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2014
31,760 25,214 280
Kusudio la Mungu huwa linaonekana maana halitumii nguvu, vitisho wala hila zozote. Ni full shangwe na furaha!
Alichokipanga Mungu mwanadamu anaweza kukichelewesha tu lakini hawezi kuzuia kusudio la Mungu.
 
B

Babati

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2014
Messages
31,760
Likes
25,214
Points
280
Age
33
B

Babati

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2014
31,760 25,214 280
Tumwache mzee wa watu afanye kazi aliyotumwa hapa duniani.
 
simplemind

simplemind

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2009
Messages
13,448
Likes
4,065
Points
280
simplemind

simplemind

JF-Expert Member
Joined Apr 10, 2009
13,448 4,065 280
Fitina za CCM, je CUF kusimamisha wagombea uchaguzi mdogo kupitia CHADEMA? Umoja ni nguvu.
 
U

Umenitoa Gizani

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2016
Messages
388
Likes
176
Points
60
Age
49
U

Umenitoa Gizani

JF-Expert Member
Joined Dec 3, 2016
388 176 60
Msimchukulie Lowassa poa: JMK
 
U

Umenitoa Gizani

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2016
Messages
388
Likes
176
Points
60
Age
49
U

Umenitoa Gizani

JF-Expert Member
Joined Dec 3, 2016
388 176 60
Ukimfuatilia utajua huna busara.
 

Forum statistics

Threads 1,273,856
Members 490,528
Posts 30,493,607